kopo la chumvi
JF-Expert Member
- Aug 10, 2021
- 257
- 464
Hawa watu mara nyingi huwa nawafananisha na mashabiki wa Young africans
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah..pole sana 🤣Ndugu zangu, juzi nikiwa katika pita zangu mitaa ya Kariakoo, baada ya mizunguko kadhaa nikaona ngoja niingie moja ya maduka makubwa ya Bakhresa yanayouza vinywaji baridi ili nipoze koo kidogo.
Baada ya kuingia katika duka lile nilimkuta muhudumu mmoja hivyo nikamuomba anipatie kinywaji.
Ajabu akaniambia hatuuuzi vinywaji muda huu nikamjibu kwa nini? Akanijibu mwezi wa Ramadhani hatuuzi vinywaji mchana mpaka saa moja usiku.
Nikamuuliza sasa kama hamuuzi mmefungua kwa nini? Jamaa akaendelea kunijibu kwa ukali nimesema hatuuzi chochote muda huu.
Ndugu zangu Waislamu kama mnajua hamtoi huduma kwa kuwa mpo kwenye funga ni bora mkafunga kabisa ili tujue moja.
Maigizo tuWatu mna makasiriko balaa, dini imeagiza hivyo Sasa mtu anatekeleza matakwa ya dini yake imekuwa nongwa
Umeongea kwa hekima sana mkuuTuvumiliane jamani mwezi wa Toba huu na ni wiki ya pili hii bado wiki 2 tu
Mbona tunavumiliana kwa mengi?
Huoni public transport wanapiga nyimbo za dini wakijua fika kuna kila aina ya watu halafu ni public
Ila tunavumiliana tu
Na wewe kata kushoto hapo utamkuta mangi anauza kila aina ya kinywaji shida umeitatua na kiu umekata
Have a nice day buddy
Asa akinywa yeye ww unaathirika vp mkuuAnaenda pale anasema anataka juice akaftulu jioni akipewa then anafungua anakunywa,how is that?
Haipo ila tu kukera wengine sio ustaarabuKuna Sheria inayesema mtu akimwagilia moyo asitoke nje?
Sasa kwanini mtu akifanya maigizo yake mnaleta makasiriko? Igizeni na nyie kama ni rahisi, nani asiyetaka pesa?Maigizo tu
Mimi siathiriki na kitu,kwakuwa nimefunga tena naweza hata kukuhudumia chakula wakati nimefunga.Asa akinywa yeye ww unaathirika vp mkuu
Umepita mulemule...Hawa watu mara nyingi huwa nawafananisha na mashabiki wa Young africans
Sio Muslim tu...Kama unanuka pombe au sigara...Lazima ukae mbali na mimi.Muslim bwana, nlikutana na mmama muislam anamfokea mlevi, eti unalewaje alafu unajichanganya na sisi. Harufu yako ya pombe inatukera. Mjiangalie jamani to be honest. Mbona kuleta Sheria hivyo?
Haipo ila tu kukera wengine sio ustaarabu
Biashara huria...ni maamuzi yake.Anafungua ya nini wakati hatoi huduma?
Wengi wanafunga bila kujua wanafunga kwasababu gani.......... yaani wanakuwa kama wamefungwa
Angalia ikilia adhana, utadhani ni zile dakika tatu za nyongeza uwanja wa Taifa mageti yanafungiliwa watu waingieWamefunga huku wamefungwa akili.
Pombe sio nzuri sehemu za public bro (ukiacha bar na clubs). Huwa inakera ukute mtu kapanda daladala amelewa.Kukera wengine kivipi??-- mimi nimefunga na mtu mwingine hakufunga na anakula mbele yangu mimi inanikera kitu gani??.
Nyinyi mnataka kuufanya Uisilamu uwe ni dini ngumu sana na watu waichukie.
😂😂😂😂😂😂 Eti lastborn wa Mungu jmnWafanya kazi wa bakhressa na Azam kwa ujumla wanajionaga kama last born wa MUNGU na kujikuta wao ndie wanajua sana kuishi utakatifu hapa duniani kumbe ni roho mbaya tu.
Sijui kwa nini wanafungua biashara ikiwa hawauzi hii dini ya haki hii...vibaraka wa waarabu afu arabs they never mind them.
Piganeni jihad basi kama ni nungwa kwa kafiri..
Itoshe kusema waafrika wanaharibu uislamu ambao ulishastarabika kama zilivyo dini za ukristo, uyahudi na ubudha huwezi kujiuliza why dunia inauchukia uislamu, sababu ya dunia kuchukia uislamu ni sababu siyo dini iliyo staharabika na kuheshimu dini zingine duniani wao ndio dini ya haki kwa mtu S.w.a