713
JF-Expert Member
- Apr 1, 2018
- 354
- 776
Laiti tungejua ukweli tusinge jigawa hivi jaman sote ni ndugu tuishi Kwa kupendana dini sizitugawe zimeletwa tu hizii kama una akili narudia tena kama una akili dini haiwezi kukufanya ushindwe kumsaidia mwenzako
Kuna siku moja niliwahi kumuuliza babu yangu mzaa mama kabla hajafariki kazaliwa 1918 nilimuuliza hivi babu ukoo wetu ulikuwaje ukawa na waisilamu n wakristo au baba ako alikuwa dini gan aliniangalia akacheka sana halafu akaniuliza unamfahamu ng'ombe nikamjibu ndio babu akaniambia kati ya masikio na pembe kipi kinaanza kuchomoza nikamjibu masikio akaniambia ndio hvo hvo maisha ya dini yalivo Mimi nilizaliwa na Mila zetu ila dini nikama mapembe Kuna upande wa kulia na kushoto ila vyote vipo kichwan Kwa ng'ombe
Hitimisho: tunazaliwa na Mila zetu dini tunazikuta tu hizi ndio maana ukimpeleka mttto mdogo Roma atakuwa na dini ya kiroma na ukimpeleka maka atakuwa n dini ya kimaka ila imani mtu anazaliwa nayo hazaliw n dini hivyo Dini zisitutenge sote ni. Ndugu TUPENDANE