Enyi ndugu Waislamu, funga yenu isifanye wasiofunga wateseke

Laiti tungejua ukweli tusinge jigawa hivi jaman sote ni ndugu tuishi Kwa kupendana dini sizitugawe zimeletwa tu hizii kama una akili narudia tena kama una akili dini haiwezi kukufanya ushindwe kumsaidia mwenzako

Kuna siku moja niliwahi kumuuliza babu yangu mzaa mama kabla hajafariki kazaliwa 1918 nilimuuliza hivi babu ukoo wetu ulikuwaje ukawa na waisilamu n wakristo au baba ako alikuwa dini gan aliniangalia akacheka sana halafu akaniuliza unamfahamu ng'ombe nikamjibu ndio babu akaniambia kati ya masikio na pembe kipi kinaanza kuchomoza nikamjibu masikio akaniambia ndio hvo hvo maisha ya dini yalivo Mimi nilizaliwa na Mila zetu ila dini nikama mapembe Kuna upande wa kulia na kushoto ila vyote vipo kichwan Kwa ng'ombe

Hitimisho: tunazaliwa na Mila zetu dini tunazikuta tu hizi ndio maana ukimpeleka mttto mdogo Roma atakuwa na dini ya kiroma na ukimpeleka maka atakuwa n dini ya kimaka ila imani mtu anazaliwa nayo hazaliw n dini hivyo Dini zisitutenge sote ni. Ndugu TUPENDANE
 
KAMA WANATAKA KUKAA KWA AMANI WAHAMIE SAUDIA
 
Ndugu zangu, juzi nikiwa katika pita zangu mitaa ya Kariakoo, baada ya mizunguko kadhaa nikaona ngoja niingie moja ya maduka makubwa ya Bakhresa yanayouza vinywaji baridi ili nipoze koo kidogo.

Baada ya kuingia katika duka lile nilimkuta muhudumu mmoja hivyo nikamuomba anipatie kinywaji.

Ajabu akaniambia hatuuuzi vinywaji muda huu nikamjibu kwa nini? Akanijibu mwezi wa Ramadhani hatuuzi vinywaji mchana mpaka saa moja usiku.

Nikamuuliza sasa kama hamuuzi mmefungua kwa nini? Jamaa akaendelea kunijibu kwa ukali nimesema hatuuzi chochote muda huu.

Ndugu zangu waislamu kama mnajua hamtoi huduma kwa kuwa mpo kwenye funga ni bora mkafunga kabisa ili tujue moja.
Duka lake ni ridhaa yake kuuza ama kutokuuza.

Simple, unatoka unaenda sehemu nyingine.

Kupitia kunyimwa kinywaji na muhudumu wa duka la Bakhresa ndio unataka kujumuisha dini nzima??

Hizi imani zetu zisiwe sababu za kujiwekea matabaka. Tujaribu kuhukumiana kwa matendo yetu binafsi bila kujumuisha imani nzima.
 
Ndugu zangu, juzi nikiwa katika pita zangu mitaa ya Kariakoo, baada ya mizunguko kadhaa nikaona ngoja niingie moja ya maduka makubwa ya Bakhresa yanayouza vinywaji baridi ili nipoze koo kidogo.

Baada ya kuingia katika duka lile nilimkuta muhudumu mmoja hivyo nikamuomba anipatie kinywaji.

Ajabu akaniambia hatuuuzi vinywaji muda huu nikamjibu kwa nini? Akanijibu mwezi wa Ramadhani hatuuzi vinywaji mchana mpaka saa moja usiku.

Nikamuuliza sasa kama hamuuzi mmefungua kwa nini? Jamaa akaendelea kunijibu kwa ukali nimesema hatuuzi chochote muda huu.

Ndugu zangu waislamu kama mnajua hamtoi huduma kwa kuwa mpo kwenye funga ni bora mkafunga kabisa ili tujue moja.
Yaan siku zote muislamu akishafunga ww mkristo anakuona km mpwayungu usiekua na mbele Wala nyuma
 
Kataka kwenda kwa Bakharesa ili aje aanzishe uzi.

Kila siku mada hizi...hawachoki
Ili tuwavunjie heshima?
Lakini tuwavumilie tu wengine ndio hulka yao tu
Mungu atupe Subra kila wakati

Mada hizi tunaziona kila siku ila tuzipuuze tu
 
Anaenda pale anasema anataka juice akaftulu jioni akipewa then anafungua anakunywa,how is that?
Wao ndio wanafanya maandalizi ya kuanza kuuza bidhaa zao jioni.
 
Ndugu zangu, juzi nikiwa katika pita zangu mitaa ya Kariakoo, baada ya mizunguko kadhaa nikaona ngoja niingie moja ya maduka makubwa ya Bakhresa yanayouza vinywaji baridi ili nipoze koo kidogo.

Baada ya kuingia katika duka lile nilimkuta muhudumu mmoja hivyo nikamuomba anipatie kinywaji.

Ajabu akaniambia hatuuuzi vinywaji muda huu nikamjibu kwa nini? Akanijibu mwezi wa Ramadhani hatuuzi vinywaji mchana mpaka saa moja usiku.

Nikamuuliza sasa kama hamuuzi mmefungua kwa nini? Jamaa akaendelea kunijibu kwa ukali nimesema hatuuzi chochote muda huu.

Ndugu zangu Waislamu kama mnajua hamtoi huduma kwa kuwa mpo kwenye funga ni bora mkafunga kabisa ili tujue moja.
Ila nyie wakristo ni wachokozi sana, kwani wewe ndiye uliyempa mtaji bakhresa? anahaki ya kujiamulia asiuze mwezi wa Ramadhani kutokana na imani yake
 
Back
Top Bottom