Enyi Serikali hivi vifo visivyoeleweka vya Watanzania wenzetu huko Nje ya Nchi, Muwe mnavifatilia, kila Nafsi ya Mtanzania iwe yenye thamani

Tatizo wadada wa kibongo wanaweka tamaa mbele kupanua mapaja kwa maboss zao ndo kunawafanya wakaribie kwenye kaburi
 
Sasa hata Dada Maria ametekwa huko Kenya hii serikali ya CCM iko kimya hivi huko kwa Mwarabu wataingea kweli?!
Nikitaka kuchangia lakini ulivyoingiza habari ya hii movie iliyofeli ya hilo chepuko lenu, nimeamua kukaa kimya tu Ili mjadili kwa upana habari hii iliyokosa uthibitisho na hatimaye muweze kuzimwaga chuki zenu zilizoganda mioyoni mwenu dhidi ya waarabu kwa Raha zenu😊😊😊
 
Bro pole sana Mkuu... Lakini pamoja na uchungu tulionao wote ila hoja hii ni kama maji kutwanga kwenye kinu. Nchi yetu inahitaji maombi tu labda ndio viongozi watatenda. Thamani ya mtanzania ni nchini tena akifanywa matendo ovu na mtanzania mwenzake, ila nje ya hapa basi atashughulikia akikutwa na madawa tu.

Mungu tusaidie
 
Inaumiza kinyama yaani

Mtu unajaa hasira mpaka unajisemea sjui nilipize kisasi kwa waarabu tunaokaa nao ama vipi
 
Nchi nyingi za Africa zimeshapiga marufuku mabinti kwenda kufanya kazi Uarabuni, lakini Tanzania ukitaja waarabu umetaja watakatifu, shida ni kubwa
 
Uzuri wengi wa wanaoenda huko(wafanyakazi) ni wa dini ile ya mnyazi mungu so acha tu wauane watajua wenyewe sisi labda kwa watasha ndio kidogo tutashituka
 
Nani awatetee wakati hao mnaotaka wawatetee ndiyo makuwadi wakubwa na wauaji? Mi naona nasi tulipize kisasi kwa ndugu zao walioko kwetu ili waonje dawa yao wenyewe au vipi?
 
Nchi nyingi za Africa zimeshapiga marufuku mabinti kwenda kufanya kazi Uarabuni, lakini Tanzania ukitaja waarabu umetaja watakatifu, shida ni kubwa
Yaan ni kwann suluhisho liwe ni kutokwenda huko kufanya kazi?.
 
Uzuri wengi wa wanaoenda huko(wafanyakazi) ni wa dini ile ya mnyazi mungu so acha tu wauane watajua wenyewe sisi labda kwa watasha ndio kidogo tutashituka
Si sahihi, kuna mawakala wanarubuni vininti vya vijijini na kuviuza huko, vibinti vinatoka hadi Rukwa, Songwe n.k
 
Mleta mada unaishauri serikali inayoongozwa na nani? Huyu huyu aliyesema kifo ni kifo?
 
Mi wakati Mwingine huwa nawaelewa sana wasouth , fursa za south ni zao tu en not otherwise
 
Poleni Sana wafiwa ila ushauri wangu Msiwege mnaenda huko
 
Kuna watanzania walitekwa na hamasi serikali ilikuwa kimya badala yake balozi wa palestina akawa anazunguka misikitini.
 
#tunazaliwa hovyo tunakufa hovyo.inaumiza sana nchi hii ......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…