ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Hio jezi ni kumbukumbu kwa mchezaji unapo wapokonyonya wakati mashindano yamefika mwisho unazipeleka wapi? in addition kila tournament hua zinatengenezwa kits mpyaMtoto wa chini ya miaka 15 anataka kulipwa?
Sidhani hata kama sheria za FIFA zinaruhusu hii.
Tangu lini kuichezea team ya Taifa ilikuwa ni kuhusu malipo.
Kwamba wamepokonywa Jezi? Au wamerudisha jezi. Waliambiwa hizo jezi ni mali yao?
Kuna vitu vya kulalamika, ila sio hili la kutaka kuanza kuwalipa watoto wa miaka 15 wakilichezea Taifa.
Zawadi linapewa Taifa mshindi.......MBONA UNATETEA UJINGA MZEE KWA HIYO ZAWADI ANAPEWA NANI??
ACHA KUTETEA UJINGA
Washaokulaa bahashaaa haooNALIA NGWENA huwa nashangazwa sana na wachambuzi wa kibongo wanaojiita wanaharakati na uchambuzi wao umejikita juu ya Simba sc na Yanga Sc utadhani hii nchi Kuna timu mbili tu ndiyo zinacheza.
Kuna bwana mdogo kaandika kwenye mitandao anaituhumu TFF kuwa imewadhurumu haki Yao hawajalipwa lakini wachambuzi MAANDAZI wapo kimya tu.
Mbona Suala la Feisal salum Wachambuzi mliongea sana na harambee ya kumchangia mlipitisha bakuli??
Wachambuzi wa Kitanzania mnachambua football gani na mnaangalia/mnapigania harakati gani ili mpira ukue??
Hao watoto wa Under 15 ndiyo taifa la kesho Sasa Kama wanafanyiwa Madudu Kama haya na wakaamua kuachana na mpira mnadhani kuwa tutapata wapi wakina John Bocco, Mbwana Samata N.k??
Maoni Yangu: Enyi wachambuzi wa Mpira ACHENI kupaza sauti kwa Simba SC na Yanga Sc tu, Pazeni sauti juu ya haki na kudhurumiwa kwa watoto/wadogo zetu kwani ndiyo wachezaji wetu wa baadae lakini tukikaa kimya kizazi Cha football kitakufa kwa Tamaa za watu wachache.
NALIA NGWENA natumia jukwaa hili la michezo na mtandao wetu Pendwa Jamii forum kuwaambia @cloudsfm @efmradio vipindi vya michezo na redio zingine kuwa acheni kuangalia Simba na Yanga tu Pazeni sauti juu ya huu uhuni na dhuruma kwa watoto wadogo.
Tuwalipe mimi na nani?H
Walipeni watoto pesa zao mnajiabisha sana
Kwahiyo walipwe wazazi? Tsh ngapi kila mmoja unapendekeza.Kwani hawana wazazi??
Hayo ni miongoni mwa maajabu yanayopatikana Tanganyika ndio maana wageni hawaishi kuja kushangaa mkuu.Walichokifanya TFF siyo haki.
Na uzuri nimemuona na kumsikia Wallace Karia akiliongelea jambo hilo kwa kutoa sababu ambazo hazijajitosheleza.
Mfano anasema eti waliwanyang'anya jezi hao watoto kwa sababu hizo jezi zimetengenezwa kwa gharama kubwa!! Kweli ndiyo sababu yenye mashiko hii kutolewa na rais wa shirikisho!!
Halafu sababu ya kutowapa mgao wa fedha walizopewa kwenye hayo mashindano baada ya kuwa washindi wa 2, 3, nk ni kwa sababu mdhamini (Motsepe) alitaka zitumike kujengea miundombinu!!! Sawa!!
Sasa imekuwaje washindwe kuwapa hata posho hao watoto? Je, hawakustahili kupewa chochote, isipokuwa chakula na malazi waliyopata wakati wa mashindano, na nauli tu ya shilingi elfu 20-50 ya kurejea makwao?
Yaani rais Wallace Karia anataka kutuambia Shirikisho halikuwa na fedha ya motisha kwa hao watoto ili na wenyewe wapate moyo wa kulipambania Taifa lao wakati mwingine?
Je, Karia anataka kutuambia hata maafisa wake na benchi la ufundi walioambatana na hao watoto kwenye hayo mashindano, walilipwa nauli tu za kurejea majumbani kwao!!
This is unfair!! Na cha kuhuzunisha, wakati anajibu hizi tuhuma; alijikita zaidi kwenye zile kauli zake zilizo zoeleka za nyodo, dharau na kejeli. Huwa hapendi mawazo mbadala! Hapendi kukosolewa!! Huyu jamaa anatakiwa kubadilika.
Kupokonywa una maanisha nini?Hio jezi ni kumbukumbu kwa mchezaji unapo wapokonyonya wakati mashindano yamefika mwisho unazipeleka wapi? in addition kila tournament hua zinatengenezwa kits mpya
Uonevu tu. Mbaya zaidi hilo shirikisho lina mkataba na Sandaland kwa ajili ya kudhamini jezi, nk!! Halafu watoto baada ya kutumia jezi, eti wanatakiwa kuzirejesha!!Hio jezi ni kumbukumbu kwa mchezaji unapo wapokonyonya wakati mashindano yamefika mwisho unazipeleka wapi? in addition kila tournament hua zinatengenezwa kits mpya
Kumbe una uelewa mdogo sana kuhusu football , kwahiyo ukicheza timu ya taifa hulipwi? Kama viongozi wenyewe wa tff ndio nyie basi kazi ipo.Tuwalipe mimi na nani?
Ila nawashangaa mnaopiga kelele, Yaani mtu anataka kulipwa kuliwakilisha Taifa?
Kwa hiyo walikuwa wanajitolea na hivyo hawapaswi kupewa hamasa?Mtoto wa chini ya miaka 15 anataka kulipwa?
Sidhani hata kama sheria za FIFA zinaruhusu hii.
Tangu lini kuichezea team ya Taifa ilikuwa ni kuhusu malipo.
Kwamba wamepokonywa Jezi? Au wamerudisha jezi. Waliambiwa hizo jezi ni mali yao?
Kuna vitu vya kulalamika, ila sio hili la kutaka kuanza kuwalipa watoto wa miaka 15 wakilichezea Taifa.
HII NDIYO BONGO.Hio jezi ni kumbukumbu kwa mchezaji unapo wapokonyonya wakati mashindano yamefika mwisho unazipeleka wapi? in addition kila tournament hua zinatengenezwa kits mpya
KWELI MKUU MAANA WAPO KIMYA SANAWashaokulaa bahashaaa haoo
Endelea kuchelewa kusikia.Kuzing'ang'ania unamaanisha nini?
Uliwahi kuuliza hata Timu za wakubwa kama huwa wanaondoka na jezi?
Unanilimit nanmna ya kufikiri? Kwamba jibu liwe ndio au hapana?
Kwani watu mkiskia timu ya Taifa mnaelewa nini kwani? Pahala pa kwenda Kugawana posho na Kucheza ili uondoke na Jezi?
Ukiona mtu yoyote anampa motisha ya Fedha mtoto jua anashida pahala.
Miaka 15 anadai hela? Sijawahi skia hii.......
Mtoto wa miaka 15?Kw
Kwa hiyo walikuwa wanajitolea na hivyo hawapaswi kupewa hamasa?
Hujaskia kuwa wameambiwa wakajenge miundombinu?Endelea kuchelewa kusikia.
Kwani TFF wamepewa fedha zitokanazo na hayo mashindano ama hawaiupewa?
Km wamepewa,ni kwa nini?
Kwa hiyo baada ya kuzirejesha hizo jezi, mnazipeleka wapi? Mnaenda kuziuza, kuzigawa kwa wajumbe wenu wa TFF! Au mnaenda kuzihifadhi kwa ajili ya mashindano yajayo?Kupokonywa una maanisha nini?
Wachezaji wamerudisha Jezi.
Hawajapokonywa......
Na sioni hoja hapa, ni lini Jezi mtu anaondoka nazo Bongo hii?
Kwani hamfahamu Jezi zinafuliwa......
Ni vizuri kama jezi wangeondoka nazo, ila kuambiwa wazirudishe haipaswi kuwa hoja ya malalamiko.
Jezi inarudishwa kama mashindano yana endelea yakifika mwisho jezi inarudishwa kufanya nini? Kila shindano lina bajeti yake na kits zake hao watoto wanahitaji hivyo vifaa kuendeleza careers zao tena ingependeza baada ya mashindano wapewe zaidi kumbuka wengi wao wanatoka familia duniKupokonywa una maanisha nini?
Wachezaji wamerudisha Jezi.
Hawajapokonywa......
Na sioni hoja hapa, ni lini Jezi mtu anaondoka nazo Bongo hii?
Kwani hamfahamu Jezi zinafuliwa......
Ni vizuri kama jezi wangeondoka nazo, ila kuambiwa wazirudishe haipaswi kuwa hoja ya malalamiko.