ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Hayo sio malipo kama mshahara ni posho na motivation, kijana wa miaka 15 anaweza kusaidia kazi za nyumbani anaondoka kwenda kambini almost miezi 2 baadae anarudi nyumbani mikono mitupu next time mzazi gani ata ruhusu mtoto wake aende kupoteza mda? mind you hawa madogo wanatoka familia za hali ya chiniMtoto wa miaka 15?
Analipwa? Ni nchi gani inawalipa watoto wa miaka 15.
Mpira wa team ya Taifa haijawahi kuwa ni kuhusu Fedha, ni Pride ya Kuwa Mtanzania.
Pandikiza mawazo ya malipo kwa watoto wa miaka 15.
Miaka 10 mbele utaona unakuwa na team ya taifa ya namna gani.
Kwani ilikuwa lazima ili wapate hiyo fedha wapeleke vijana wakacheze?Hujaskia kuwa wameambiwa wakajenge miundombinu?
Huyu atakuwa miongoni mwa waliofanya huo upuuzi. Mpaka waka wanyang'anya sasa hapa hamasa itatoka wapi?Hayo sio malipo kama mshahara ni posho na motivation, kijana wa miaka 15 anaweza kusaidia kazi za nyumbani anaondoka kwenda kambini almost miezi 2 baadae anarudi nyumbani mikono mitupu next time mzazi gani ata ruhusu mtoto wake aende kupoteza mda? mind you hawa madogo wanatoka familia za hali ya chini
KWELI MKUU.kweli apa tuungane jaman TFF hapo wamekwama huu ni wizi kabsa
HATARI MNO, WATOTO WAPEWE POSHO SIYO KULIPANA WAZEE WA MAKOTI NA MATUMBO MAKUBWA.Inashangaza sana
Hoja inapaswa kuwa TFF wajitahidi kuwazingatia hawa watoto, kwenye masuala ya Vifaaa.Jezi inarudishwa kama mashindano yana endelea yakifika mwisho jezi inarudishwa kufanya nini? Kila shindano lina bajeti yake na kits zake hao watoto wanahitaji hivyo vifaa kuendeleza careers zao tena ingependeza baada ya mashindano wapewe zaidi kumbuka wengi wao wanatoka familia duni
Zawadi ina limit mzee.....Kwani ilikuwa lazima ili wapate hiyo fedha wapeleke vijana wakacheze?
Kwahiyo tunapaswa kumlipa mzazi?Hayo sio malipo kama mshahara ni posho na motivation, kijana wa miaka 15 anaweza kusaidia kazi za nyumbani anaondoka kwenda kambini almost miezi 2 baadae anarudi nyumbani mikono mitupu next time mzazi gani ata ruhusu mtoto wake aende kupoteza mda? mind you hawa madogo wanatoka familia za hali ya chini
Hujazoea mawazo tofauti.....?Huyu
Huyu atakuwa miongoni mwa waliofanya huo upuuzi. Mpaka waka wanyang'anya sasa hapa hamasa itatoka wapi?
Na jezi nazo zinaelekezwa kwenye facilities Kwa maelekezo ya Motsepe?Zawadi ina limit mzee.....
Walishinda masindano kule south pia ya shule za sekondari nadhani.
Nilimsikia motsepe akisema Pesa zielekezwe kwenye facilities.
Utetezi wako unaashiria.Hujazoea mawazo tofauti.....?
Mpaka unahisi kila anayewaza tofauti ni wa kundi fulani?
Kwani hujui kuwa jezi bongo zinafuliwa?Na jezi nazo zinaelekezwa kwenye facilities Kwa maelekezo ya Motsepe?
Unataka kusema kwenye hiyo fedha viongozi waliokuwa wameambatana na hao watoto hawajalipana ila inaelekezwa kwenye facilities yote ama wao wanalipana inayotoka wapi?Hoja inapaswa kuwa TFF wajitahidi kuwazingatia hawa watoto, kwenye masuala ya Vifaaa.
Walau wawe na Vifaa vitakavyowawezesha kuendeleza vipaji vyao.
kama wamewapora, viatu na vifaa vingine vya mazoezi hapo wamekosea.
Maana nafahamu huwa wanepewa pair kadhaa kwa ajili ya mazoezi.
Ila sio eti wamepokonywa jezi? Hii hoja imekaa hovyo.
Kwani ni kwenye facilities gani zilikoelekezwa hizo fadha km jezi hazihusiki?Kwani hujui kuwa jezi bongo zinafuliwa?
Hata simba na Yanga wanafua?
Kwamba wanakula zawadi?U
Unataka kusema kwenye hiyo fedha viongozi waliokuwa wameambatana na hao watoto hawajalipana ila inaelekezwa kwenye facilities yote ama wao wanalipana inayotoka wapi?
Hili ni swali lingine ambalo linahitaji mada yake.Kwani ni kwenye facilities gani zilikoelekezwa hizo fadha km jezi hazihusiki?
Wasingeliwachukua hao vijana na kuwapeleka huko ili wakatafute fedha japo ya kununlia jezi wajisikie fahari kuvaa jezi siyo kufedheheka kwa kuonekana wanalilia jezi.Hili ni swali lingine ambalo linahitaji mada yake.
Worth a research kabisa....
Ukitafiti utajua binafsi sijui.
Kuhusu Jezi, hazinunuliwi ili tugawe......
Zinanunuliwa ili zitumike kwenye mashindano.
kwa hiyo budget kwa ajili ya viongozi ilikuwepo,isipokuwa kwa ajili ya kuwapa japo hamasa hao watoto haikuwepo?Kwamba wanakula zawadi?
Wasingeshinda wasingelipwa?
Kama wanalipana zawadi hilo ni tatizo lingine, ila nadhani kabla hawajaenda walishakuwa na Budget.