Alexander Lukashenko
JF-Expert Member
- Sep 9, 2017
- 4,140
- 9,667
Nadhani hatujaelewana......So, linapokuja suala la jezi tutumie uzoefu wa bongk wa jezi si mali ya mchezaji tofauti na wenzetu tunafua na kutumika tena.
Ila likija suala la kuwapa pesa, japo sasa tutumie uzoefu wa kimataifa watoto hawapewi pesa.
Typical Tanzanian, kuchagua mifano ya kile kinachomnufaisha. Kama hakimnufaishi utasikia kwanimi tuwaige wao. Kama kinamnufaisha utasikia, hata UK wanafanya hivi hivi.
Yaan kumbe jezi zinabaki kule na kufuliwa tena? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kupokonywa una maanisha nini?
Wachezaji wamerudisha Jezi.
Hawajapokonywa......
Na sioni hoja hapa, ni lini Jezi mtu anaondoka nazo Bongo hii?
Kwani hamfahamu Jezi zinafuliwa......
Ni vizuri kama jezi wangeondoka nazo, ila kuambiwa wazirudishe haipaswi kuwa hoja ya malalamiko.
jezi ni mali yj mchezaji, huo ndo ustaarabu wa mpira wa miguu duniani kote, kiongozi anayewapora watoto jez ili akaziuze hyo hatufai.Ni lini Jezi ilikuwa mali ya mchezaji Bongo hii?
Jezi zinafuliwa na kutumika tena.
Sasa mtaona next time km mtapata vijana, wazazi hawawezi kubali huu ujinga, mfyuuuuhWanafundishwa uzalendo,
Sio kila kitu kulalamika tu nyie kenge
that's a point Kuna wakati madogo wawili under 20 ya kina Job, Israel mwenda , walirudishwa Tanzania na Kim Paulsen kutoka Morocco walipaswa kushiriki michuano hiyo ,kisa ni kuwa walipewa ruhusa ya masaa mawili washangae mji lakini walirudi kambini wamelewa chakari , kiufupi wachezaji wengi ni vijeba ndio maana wanaanza kudai malipo, mtoto Kwa umri wa miaka 15 ni form one or two anapaswa kupewa zawadi ya vitabu, uniforms, counterbooks, calculator na hili TFF wanaweza kufanya sio kuwapa helaKuwapa motisha ni jambo zuri, zawadi mbali mbali nakubaliana na wewe.
Vifaa vya Shule, vifaa vya michezo etc.
Lakini Hakutakiwi kuwa na mentality ya tukishinda hela tutagawana.
Hichi ndio nachokikataa, Wanacheza kwa ajili ya Taifa sio ili kupata pesa.
Shida inaanza si watoto wa chini ya 15 ni vijeba, ndio maana unaona wanalalamika.
halipwi kwa sababu na yeye alitunzwa, we jamaa kiazi eh!?Mzazi anahitaji kulipwa ili amtunze mtoto?
Unafananisha vitu visivyofanana.
Msomali hajawai kuwa binadamu nkuu.Hao vima wanapata laana za bure tu ukute wanachukua jezi wakawape watoto wao nyumbani huku waliofanikisha wakiwapokonya yaani Umasikini wa watu huwa hauwatoki hata wakifanikiwa maana upo kwenye damu...
Unaweza kuelezea hili?jezi ni mali yj mchezaji, huo ndo ustaarabu wa mpira wa miguu duniani kote, kiongozi anayewapora watoto jez ili akaziuze hyo hatufai.
kuelezea nn?Unaweza kuelezea hili?
Watu wanapiga Kelele tu hapa, Chini ya miaka 15 ( Miaka 14 na siku kadhaa kushuka chini)that's a point Kuna wakati madogo wawili under 20 ya kina Job, Israel mwenda , walirudishwa Tanzania na Kim Paulsen kutoka Morocco walipaswa kushiriki michuano hiyo ,kisa ni kuwa walipewa ruhusa ya masaa mawili washangae mji lakini walirudi kambini wamelewa chakari , kiufupi wachezaji wengi ni vijeba ndio maana wanaanza kudai malipo, mtoto Kwa umri wa miaka 15 ni form one or two anapaswa kupewa zawadi ya vitabu, uniforms, counterbooks, calculator na hili TFF wanaweza kufanya sio kuwapa hela
sio lazima pesa cash, wangeweza hata kufanyiwa shopping mkuu, wazazi wengine kuwanunulia hata watoto viatu vya kuchezea ni kipengele ujue.Wapewe hata motisha kama sio wao basi pesa zipelekwe kwa wazazi wao
Umesema Fedha za kuwatunza mpaka wafikishe 15 yrs walitoa TFF?halipwi kwa sababu na yeye alitunzwa, we jamaa kiazi eh!?
KWELI KABISA MKUU [emoji736]achana na huyo kiazi, wangewanunulia hata watoto nguo si wangekuwa wamesawasaidia wazazi kwenye gharama za mavazi angalau kwa muda, baadhi ya hao watoto wanatoka familia duni.
Hapa tunakubaliana ila sio kijana wa miaka 14 kupigia hesabu ya kugawana pesa wakishinda team ya Taifa.sio lazima pesa cash, wangeweza hata kufanyiwa shopping mkuu, wazazi wengine kuwanunulia hata watoto viatu vya kuchezea ni kipengele ujue.
POSHO APEWE, USIPENDE KUTETEA UJINGA.watoto wanapaswa kushukuru kupewa nafasi ya kuonyesha vipaji vyao , lengo la mashindano ya under 18 ni kutoa platform ya watoto kucheza mpira sio kujiingizia kipato , mtoto halipwi ,washukuru kupewa nauli na nafasi ya kuonyesha vipaji kati ya maelfu ya watoto wa umri wao
MIMI NILIENDA KUSOMEA KUKUPIGA MITI [emoji41]= kuwadhulumu
= dhuluma / dhulma.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Mtoto sio mali ya nchi we kenge ndo maana mtu ana uhuru wa kubadili uraia, hata mchezaji ana uhuru wa kukataa kuchezea timv ya taifa lake, halazimishwi, halafu tunaongelea maslahi hapa, hao watoto kuna kitu wameingiza, ambacho kimsingia walitakiwa wanufaike nacho,Umesema Fedha za kuwatunza mpaka wafikishe 15 yrs walitoa TFF?
Na mimi nimekuuliza mzazi anapaswa kulipwa kwa kumtunza mtoto?
Kama hapana kwanini uliuliza kitu kama hicho mwanzo.
Ww ndo unashida mahala mtoto wa miaka 15 kwa dunia ya sasa anaweza kuwa mjanja wa kutafuta pesa zaidi yako ww mzeeZawadi linapewa Taifa mshindi.......
Kwa maana ya Shirikisho la mpira la nchi husika, na kama zawadi haina limitation za matumizi ni wao ndio wataamua inaenda wapi.
Wachezaji hawachezi Team za Taifa ili walipwe, ukiona mtoto wa miaka 15 analilia hela kuna shida pahala.
HUYO DOGO ANAKUAMBIA WAZAZI TUNAPORUDI NYUMBANI WANAJUA TUNAPESA KUMBE HATUJAPEWA KITU.that's a point Kuna wakati madogo wawili under 20 ya kina Job, Israel mwenda , walirudishwa Tanzania na Kim Paulsen kutoka Morocco walipaswa kushiriki michuano hiyo ,kisa ni kuwa walipewa ruhusa ya masaa mawili washangae mji lakini walirudi kambini wamelewa chakari , kiufupi wachezaji wengi ni vijeba ndio maana wanaanza kudai malipo, mtoto Kwa umri wa miaka 15 ni form one or two anapaswa kupewa zawadi ya vitabu, uniforms, counterbooks, calculator na hili TFF wanaweza kufanya sio kuwapa hela
Haipo hivyo kuhusu team ya Taifa.Mtoto sio mali ya nchi we kenge ndo maana mtu ana uhuru wa kubadili uraia, hata mchezaji ana uhuru wa kukataa kuchezea timv ya taifa lake, halazimishwi, halafu tunaongelea maslahi hapa, hao watoto kuna kitu wameingiza, ambacho kimsingia walitakiwa wanufaike nacho,