Enyi wachambuzi wa mpira, mbona hampazi sauti juu ya uhuni uliofanywa na TFF kuwadhurumu watoto haki yao?

Enyi wachambuzi wa mpira, mbona hampazi sauti juu ya uhuni uliofanywa na TFF kuwadhurumu watoto haki yao?

So, linapokuja suala la jezi tutumie uzoefu wa bongk wa jezi si mali ya mchezaji tofauti na wenzetu tunafua na kutumika tena.
Ila likija suala la kuwapa pesa, japo sasa tutumie uzoefu wa kimataifa watoto hawapewi pesa.
Typical Tanzanian, kuchagua mifano ya kile kinachomnufaisha. Kama hakimnufaishi utasikia kwanimi tuwaige wao. Kama kinamnufaisha utasikia, hata UK wanafanya hivi hivi.
Nadhani hatujaelewana......
 
Kupokonywa una maanisha nini?
Wachezaji wamerudisha Jezi.
Hawajapokonywa......
Na sioni hoja hapa, ni lini Jezi mtu anaondoka nazo Bongo hii?
Kwani hamfahamu Jezi zinafuliwa......

Ni vizuri kama jezi wangeondoka nazo, ila kuambiwa wazirudishe haipaswi kuwa hoja ya malalamiko.
Yaan kumbe jezi zinabaki kule na kufuliwa tena? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuwapa motisha ni jambo zuri, zawadi mbali mbali nakubaliana na wewe.
Vifaa vya Shule, vifaa vya michezo etc.
Lakini Hakutakiwi kuwa na mentality ya tukishinda hela tutagawana.
Hichi ndio nachokikataa, Wanacheza kwa ajili ya Taifa sio ili kupata pesa.
Shida inaanza si watoto wa chini ya 15 ni vijeba, ndio maana unaona wanalalamika.
that's a point Kuna wakati madogo wawili under 20 ya kina Job, Israel mwenda , walirudishwa Tanzania na Kim Paulsen kutoka Morocco walipaswa kushiriki michuano hiyo ,kisa ni kuwa walipewa ruhusa ya masaa mawili washangae mji lakini walirudi kambini wamelewa chakari , kiufupi wachezaji wengi ni vijeba ndio maana wanaanza kudai malipo, mtoto Kwa umri wa miaka 15 ni form one or two anapaswa kupewa zawadi ya vitabu, uniforms, counterbooks, calculator na hili TFF wanaweza kufanya sio kuwapa hela
 
Watu wanapiga Kelele tu hapa, Chini ya miaka 15 ( Miaka 14 na siku kadhaa kushuka chini)
Mtoto wa miaka 14 anadai hela? Afu anasema familia Inamtegemea.
Akirudi hana Kitu watamshangaa.....
Huyo ni wa U 15 kweli?

Wabongo ni watu wa malalamiko na Kuendeshwa na Mihemko.
 
halipwi kwa sababu na yeye alitunzwa, we jamaa kiazi eh!?
Umesema Fedha za kuwatunza mpaka wafikishe 15 yrs walitoa TFF?
Na mimi nimekuuliza mzazi anapaswa kulipwa kwa kumtunza mtoto?
Kama hapana kwanini uliuliza kitu kama hicho mwanzo.
 
achana na huyo kiazi, wangewanunulia hata watoto nguo si wangekuwa wamesawasaidia wazazi kwenye gharama za mavazi angalau kwa muda, baadhi ya hao watoto wanatoka familia duni.
KWELI KABISA MKUU [emoji736]
 
sio lazima pesa cash, wangeweza hata kufanyiwa shopping mkuu, wazazi wengine kuwanunulia hata watoto viatu vya kuchezea ni kipengele ujue.
Hapa tunakubaliana ila sio kijana wa miaka 14 kupigia hesabu ya kugawana pesa wakishinda team ya Taifa.
 
watoto wanapaswa kushukuru kupewa nafasi ya kuonyesha vipaji vyao , lengo la mashindano ya under 18 ni kutoa platform ya watoto kucheza mpira sio kujiingizia kipato , mtoto halipwi ,washukuru kupewa nauli na nafasi ya kuonyesha vipaji kati ya maelfu ya watoto wa umri wao
POSHO APEWE, USIPENDE KUTETEA UJINGA.
 
Umesema Fedha za kuwatunza mpaka wafikishe 15 yrs walitoa TFF?
Na mimi nimekuuliza mzazi anapaswa kulipwa kwa kumtunza mtoto?
Kama hapana kwanini uliuliza kitu kama hicho mwanzo.
Mtoto sio mali ya nchi we kenge ndo maana mtu ana uhuru wa kubadili uraia, hata mchezaji ana uhuru wa kukataa kuchezea timv ya taifa lake, halazimishwi, halafu tunaongelea maslahi hapa, hao watoto kuna kitu wameingiza, ambacho kimsingia walitakiwa wanufaike nacho,
 
Zawadi linapewa Taifa mshindi.......
Kwa maana ya Shirikisho la mpira la nchi husika, na kama zawadi haina limitation za matumizi ni wao ndio wataamua inaenda wapi.
Wachezaji hawachezi Team za Taifa ili walipwe, ukiona mtoto wa miaka 15 analilia hela kuna shida pahala.
Ww ndo unashida mahala mtoto wa miaka 15 kwa dunia ya sasa anaweza kuwa mjanja wa kutafuta pesa zaidi yako ww mzee
 
that's a point Kuna wakati madogo wawili under 20 ya kina Job, Israel mwenda , walirudishwa Tanzania na Kim Paulsen kutoka Morocco walipaswa kushiriki michuano hiyo ,kisa ni kuwa walipewa ruhusa ya masaa mawili washangae mji lakini walirudi kambini wamelewa chakari , kiufupi wachezaji wengi ni vijeba ndio maana wanaanza kudai malipo, mtoto Kwa umri wa miaka 15 ni form one or two anapaswa kupewa zawadi ya vitabu, uniforms, counterbooks, calculator na hili TFF wanaweza kufanya sio kuwapa hela
HUYO DOGO ANAKUAMBIA WAZAZI TUNAPORUDI NYUMBANI WANAJUA TUNAPESA KUMBE HATUJAPEWA KITU.

KWA MANENO KAMA HAYO HUYO NI KIJEBA WAPEWE HATA POSHO WAKAZIPE FAMILIA ZAO.
 
Mtoto sio mali ya nchi we kenge ndo maana mtu ana uhuru wa kubadili uraia, hata mchezaji ana uhuru wa kukataa kuchezea timv ya taifa lake, halazimishwi, halafu tunaongelea maslahi hapa, hao watoto kuna kitu wameingiza, ambacho kimsingia walitakiwa wanufaike nacho,
Haipo hivyo kuhusu team ya Taifa.
Pole mkuu na naomba nikuache maana huelewi mambo.
 
Back
Top Bottom