Enyi wachambuzi wa mpira, mbona hampazi sauti juu ya uhuni uliofanywa na TFF kuwadhurumu watoto haki yao?

Enyi wachambuzi wa mpira, mbona hampazi sauti juu ya uhuni uliofanywa na TFF kuwadhurumu watoto haki yao?

Hili binafsi hata mimi limenishangaza mtoto wa miaka 15 bado ni mdogo sana hata interest na hela huwa hawana kiivo huwa wanapenda kucheza mpira na kufurahi hayo mambo ya pesa nadhani kuna vijeba kwenye timu wanawashawishi vibaya madogo

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app

Ukiwa na akili za kizamani lazima uone hivyo. Jiulize ni nan anayemtunza huyo mtoto? Ikitokea akaumia na asipate tena nafasi za kucheza huo mpira?

Vifaa vya michezo nani anawanunulia hai watoto huko wanapokuwa mtaani?

Hayo sio mashindano ya umiseta wala umitashumta ndugu. Wao kama TFF bado wanawajibu wa kuwapa zawadi hao watoto. Kwa mfano, hao wote ni umri wa kuwa shuleni. Wanaweza funguliwa akaunti wakapewa fedha na kuhifadhiwa huko chini ya usimamizi wa wazazi/walezi.

Fedha hizo zikawa zinawasaidia kwenye ada zao, mahitaji mengine ya msingi na bima ya afya.

Huoni kuwa itawajengea uzalendo zaidi na kuona wanapaswa kulitumikia taifa. Hapa wakibalisha uraia mnaanza kulialia. Wakija wakacheza kutimiza wajibu mnaanza kusema hawana uzalendo.
TFF iachane na mambo ya kihuni.
 
Msomali arudishwe kwao Somalia kwa kweli,, WATANZANIA hawawezi kuwa na Akili za kikatili kiasi hiki...

Eti jezi nayo inajengewa miundo mbinu ...

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Eti msomali anasema jezi zimetengenezwa kwa gharama kubwa, sijajua alitumia kipimo gani cha gharama kubwa au labda alitaka wavae kachumbari za kwenye mtumba,

kwa hyo anaenda kuuza hzo jez ili warudishe gharama? sijajua.
 
Hii vita naona anaipigana Jemedari Said bin Kazumari na Geof Lea, wengine wote machawa *****
 
Kuzing'ang'ania unamaanisha nini?
Uliwahi kuuliza hata Timu za wakubwa kama huwa wanaondoka na jezi?
Unanilimit nanmna ya kufikiri? Kwamba jibu liwe ndio au hapana?
Kwani watu mkiskia timu ya Taifa mnaelewa nini kwani? Pahala pa kwenda Kugawana posho na Kucheza ili uondoke na Jezi?

Ukiona mtu yoyote anampa motisha ya Fedha mtoto jua anashida pahala.
Miaka 15 anadai hela? Sijawahi skia hii.......
Unajifanya mjuaji kweli ,kuhusu kuchezea timu ya taifa lazima mupewe posho tu hamuwezi kucheza bure hayo tushayaona sana wachezaji wanagoma kuchezea timu ya taifa mfano nigeria,Cameroon nk tena hao waliokigoma ni wachezaji wakubwa wanaocheza ligi za ulaya kwasababu mpira ni ajira kama ilivyo uwaziri,ubunge na ukuu wa mkoa
 
Hili binafsi hata mimi limenishangaza mtoto wa miaka 15 bado ni mdogo sana hata interest na hela huwa hawana kiivo huwa wanapenda kucheza mpira na kufurahi hayo mambo ya pesa nadhani kuna vijeba kwenye timu wanawashawishi vibaya madogo

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Mpira ni ajira na kwenye mpira mtu mwenye miaka 15 haitwi mtoto
 
Tatizo la wengi humu mnawaza Kimaskini wakati malengo ya Walioandaa Mashindano ni kuendeleza Mpira nyie mnawaza kugawana zawadi.
Na kwa namna hii ya kufikiri si ajabu mngekuwa wakulima mngekuwa mnakula Mbegu.

Hii ilikuwa ni 2021 wakati Mashindano ya Kufanana na haya yanaanzishwa.

Confederation of African Football (Caf) president Patrice Motsepe and his Motsepe Foundation have donated $10million for the establishment of a Fifa-Caf Pan-African School Football Championship.

Motsepe said the money will be used to initiate and support the development and growth of schools football in the 6 CAF Zones.

“The best investment we can make to ensure that African football is amongst the best in the world and self-sustaining‚ is to invest in schools’ football and youth football development infrastructure for boys and girls at club and national level.

"This is one of my key focus areas as President of CAF‚” said Motsepe.

Motsepe was joined by his wife and co-founder of the Motsepe Foundation Dr Precious Moloi-Motsepe at the announcement at the announcement in Abidjan‚ Ivory Coast.

“The Motsepe Foundation is passionate and committed to academic excellence and football excellence‚ and has been sponsoring schools football in South Africa for many years. We are now extending this commitment and passion to the rest of the African continent‚” said Moloi-Motsepe.

Fifa president Gianni Infantino‚ who also attended the event‚ concurred that schools sport is key for unearthing talent and promoting important values of life.

“Schools are an extremely important social vehicle for the promotion of key life values. Football values‚ which include respect‚ discipline‚ teamwork and fair-play‚ are perfect complements for the education of future generations‚ and FIFA is delighted to be part of this important initiative‚ together with CAF‚ for the benefit of youths in Africa.

"Thanks to the generous donation of the Motsepe Foundation‚ joy and hope will be given to millions of children across the continent for the years to come‚” said Infantino.

Boys and girls aged between 12 and 14 will play in the Fifa-Caf Pan-African School Football Championship‚ which will have 3 stages.

It will start starting at national level through national football associations and then move to the six Zonal level tournaments which provide the qualification path to the Fifa-Caf Pan-African School Football Championship Finals.

The winning schools will use the prize money to purchase and provide schools football development and education or academic infrastructure‚ facilities and equipment among others.

Pilot national tournaments will take place in several countries throughout the continent‚ including Benin‚ the Democratic Republic of Congo and Ethiopia‚ with other participating countries to be announced in due course.

Qualification tournaments will be played between May and December 2021‚ with the finals scheduled for February 2022. The first full edition of the Fifa-Caf Pan-African School Football Championship will take place between 2022 and 2023.
 
Eti msomali anasema jezi zimetengenezwa kwa gharama kubwa, sijajua alitumia kipimo gani cha gharama kubwa au labda alitaka wavae kachumbari za kwenye mtumba,

kwa hyo anaenda kuuza hzo jez ili warudishe gharama? sijajua.
ZINAFULIWA HALAFU ZINAWEKWA SOKONI.
 
Unajifanya mjuaji kweli ,kuhusu kuchezea timu ya taifa lazima mupewe posho tu hamuwezi kucheza bure hayo tushayaona sana wachezaji wanagoma kuchezea timu ya taifa mfano nigeria,Cameroon nk tena hao waliokigoma ni wachezaji wakubwa wanaocheza ligi za ulaya kwasababu mpira ni ajira kama ilivyo uwaziri,ubunge na ukuu wa mkoa
Na hapa kinazungumzwa nini?
Hapa watu wanazungumzia zawadi wagawie watoto.
Ambayo mfadhili ameelekeza ipelekwe sehemu Nyingine.
 
Aisee nimesoma comments za wadau watu wanaona madogo ni kosa kupata motisha🤔 anyway yote heri
 
Ukiwa na akili za kizamani lazima uone hivyo. Jiulize ni nan anayemtunza huyo mtoto? Ikitokea akaumia na asipate tena nafasi za kucheza huo mpira?

Vifaa vya michezo nani anawanunulia hai watoto huko wanapokuwa mtaani?

Hayo sio mashindano ya umiseta wala umitashumta ndugu. Wao kama TFF bado wanawajibu wa kuwapa zawadi hao watoto. Kwa mfano, hao wote ni umri wa kuwa shuleni. Wanaweza funguliwa akaunti wakapewa fedha na kuhifadhiwa huko chini ya usimamizi wa wazazi/walezi.

Fedha hizo zikawa zinawasaidia kwenye ada zao, mahitaji mengine ya msingi na bima ya afya.

Huoni kuwa itawajengea uzalendo zaidi na kuona wanapaswa kulitumikia taifa. Hapa wakibalisha uraia mnaanza kulialia. Wakija wakacheza kutimiza wajibu mnaanza kusema hawana uzalendo.
TFF iachane na mambo ya kihuni.
Hii comment ifanyiwe lamination
 
UMEPIGA KWENYE POINT MKUU [emoji736]
 
unamlipa vipi mtoto? watoto wanapaswa kufurahi kupatiwa nafasi kati ya ma Elfu , watoto wanahitaji basic needs wakiwa kambini , kiufupi kambini pawe Bora kuliko nyumbani , kama hawajawarudisha nyumbani kwao (nauli)ni sahihi TFF kuliangalia hili sio mtoto kulilia malipo .
Wangepewa hata vifaa vya Michezo na jezi, jezi za mashindano et wamechukua huu ni ufala sasa madogo wangebadilishana jezi na wenzao ingekuaje? Wangeambiwa wazifate?
 
Back
Top Bottom