Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 2,170
- 3,067
Hili binafsi hata mimi limenishangaza mtoto wa miaka 15 bado ni mdogo sana hata interest na hela huwa hawana kiivo huwa wanapenda kucheza mpira na kufurahi hayo mambo ya pesa nadhani kuna vijeba kwenye timu wanawashawishi vibaya madogo
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Ukiwa na akili za kizamani lazima uone hivyo. Jiulize ni nan anayemtunza huyo mtoto? Ikitokea akaumia na asipate tena nafasi za kucheza huo mpira?
Vifaa vya michezo nani anawanunulia hai watoto huko wanapokuwa mtaani?
Hayo sio mashindano ya umiseta wala umitashumta ndugu. Wao kama TFF bado wanawajibu wa kuwapa zawadi hao watoto. Kwa mfano, hao wote ni umri wa kuwa shuleni. Wanaweza funguliwa akaunti wakapewa fedha na kuhifadhiwa huko chini ya usimamizi wa wazazi/walezi.
Fedha hizo zikawa zinawasaidia kwenye ada zao, mahitaji mengine ya msingi na bima ya afya.
Huoni kuwa itawajengea uzalendo zaidi na kuona wanapaswa kulitumikia taifa. Hapa wakibalisha uraia mnaanza kulialia. Wakija wakacheza kutimiza wajibu mnaanza kusema hawana uzalendo.
TFF iachane na mambo ya kihuni.