Enyi waganga wa kienyeji...

Enyi waganga wa kienyeji...

FANYA KAZI.. utajiri wa masharti huwa mbaya sana,unaweza ukapata utajiri ila ukaambiwa maisha yako yote ulale sakafuni (yaani kitanda usikijue) na kila mtoto unaepata lazima umtoe kafara na hiyo pesa utakayopata huruhusiwi kutoa msaada kwa mtu yeyote yule.
 
Duh!!!
 
Tunduma huku naona vijana wanapewa kuku na mganga,wewe unakuja na punje za mahindi kutupia idadi ya punje atazo kula ndio miaka yako ya kutusua mapene baada ya hapo Roho yako inaacha mwili,sasa itokee kala punje moja ni noma Sana.
Eti itokee kala punje moja........

Buhahahahahahaha
 
FANYA KAZI.. utajiri wa masharti huwa mbaya sana,unaweza ukapata utajiri ila ukaambiwa maisha yako yote ulale sakafuni (yaani kitanda usikijue) na kila mtoto unaepata lazima umtoe kafara na hiyo pesa utakayopata huruhusiwi kutoa msaada kwa mtu yeyote yule.
Jitume fanya kazi kwa bidii huku ukimwamini Mungu kuwa ndo mtoa rizki na zamu yako ikifika utapata tu.Achana na waganga mkuu
Ni utumwa wa hali ya juu.
Maneno yako yana thamani Bro
ikiwa atajua

Barikiwa sana
 
Back
Top Bottom