Enyi Wakiristo mnaomuabudu Yehova kamwe hamtaingia peponi, kwani pepo imeandaliwa kwa binadamu waliokufa ilihali wanamuabudu Allah peke yake!

Enyi Wakiristo mnaomuabudu Yehova kamwe hamtaingia peponi, kwani pepo imeandaliwa kwa binadamu waliokufa ilihali wanamuabudu Allah peke yake!

Hivi Choice ni Motoni na huko so called Peponi mnapotenga watu ? Sababu kama kuna Choice ya kutokwenda pote huko nadhani nitaichukua hio..., Nikifa nichape zangu usingizi to infinity (and for my money the latter is true)
 
Kwahiyo yale mambo ya kwamba kila saa ni kusujudu mbele ya kuti cha enzi ni uongo huko ni kupigana miti tu, dadek🤣🤣🤣🤣
Watu huku ni mito ya nyagi na pombe zingine venye unawish kupata, huku ni vichwa tu vinaenjoy Cha juu unapiga pombe Cha chini ni kuenjoy tu
 
Mi ndo ningekuwa mmiliki wa JF ningwaambia mods wazuie nyuzi zote za kidini maana zinaleta ubishani usiokuwa na tija.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu ya theolojia

Wagalatia hamna nafasi peponi labda muamue kumuabudu Mungu wa haki pekeyake yaani Allah

Jioni njema
Huyo Allah atakuwa ameanda pepo kwaajiri ya warabu tu. Maana Allah anataka watu wote wamuabudu kwa kutumia tamaduni za kiarabu tu. Maana tamaduni za wasio warabu anaziita halam kafiri.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu ya theolojia

Wagalatia hamna nafasi peponi labda muamue kumuabudu Mungu wa haki pekeyake yaani Allah

Jioni njema
Huyo allah wako kamwabudu wewe inatosha. Muddy mwenyewe alisema hajui atakachofanywa yeye wala ninyi wafuasi wake.mimi bora unikate kichwa live kuliko kuabudu majini na kubwa lao.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu ya theolojia

Wagalatia hamna nafasi peponi labda muamue kumuabudu Mungu wa haki pekeyake yaani Allah

Jioni njema
Acha kukosa maarifa, Jehova, Mulungu, Mungu, God, Adonai, Allah, nk hayo ni majina tu kati ya mengi yakimaanisha kitu kilekile.

Watu huita kwa kilugha chao halafu wewe unadhani kuita kwa lugha ya kiarabu basi ni tiketi ya mbingu. Utumwa wa fikra, mtafute Mungu wako toka moyoni, achana na ufakara wa maarifa
 
Wadau hamjamboni nyote?

Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu ya theolojia

Wagalatia hamna nafasi peponi labda muamue kumuabudu Mungu wa haki pekeyake yaani Allah

Jioni njema
Wewe nani alikudanganya wanataka kwenda kwenye pepo unayoijua wewe?

Acha kila mtu aende kwenye pepo ya Mungu anaemwabudu, usimchagulie
 
Back
Top Bottom