Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Educated Fools, Elimu yako imekusaidia kuvuka barabara tu.Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu ya theolojia
Wagalatia hamna nafasi peponi labda muamue kumuabudu Mungu wa haki pekeyake yaani Allah
Huyo Allah ni mungu feki,mungu gani anakuahidi kukupa mademu(mabikra72) na pombe ukienda peponi?sasa hapo itakuwa ni sawa na uwanja wa fisi tu?Wadau hamjamboni nyote?
Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu ya theolojia
Wagalatia hamna nafasi peponi labda muamue kumuabudu Mungu wa haki pekeyake yaani Allah
Jioni njema
Aya mkuu utatuwakilisha hamna kilichoharibikaWadau hamjamboni nyote?
Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu ya theolojia
Wagalatia hamna nafasi peponi labda muamue kumuabudu Mungu wa haki pekeyake yaani Allah
Jioni njema
Tafuta pesa ustadhi..Pepo Iko hapa hapa duniani.Wadau hamjamboni nyote?
Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu ya theolojia
Wagalatia hamna nafasi peponi labda muamue kumuabudu Mungu wa haki pekeyake yaani Allah
Jioni njema
Watu huku ni mito ya nyagi na pombe zingine venye unawish kupata, huku ni vichwa tu vinaenjoy Cha juu unapiga pombe Cha chini ni kuenjoy tuKwahiyo yale mambo ya kwamba kila saa ni kusujudu mbele ya kuti cha enzi ni uongo huko ni kupigana miti tu, dadek🤣🤣🤣🤣
Mental illnessWadau hamjamboni nyote?
Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu ya theolojia
Wagalatia hamna nafasi peponi labda muamue kumuabudu Mungu wa haki pekeyake yaani Allah
Jioni njema
1.Huyo Allah umemuona?Wadau hamjamboni nyote?
Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu ya theolojia
Wagalatia hamna nafasi peponi labda muamue kumuabudu Mungu wa haki pekeyake yaani Allah
Jioni njema
Huyo Allah atakuwa ameanda pepo kwaajiri ya warabu tu. Maana Allah anataka watu wote wamuabudu kwa kutumia tamaduni za kiarabu tu. Maana tamaduni za wasio warabu anaziita halam kafiri.Wadau hamjamboni nyote?
Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu ya theolojia
Wagalatia hamna nafasi peponi labda muamue kumuabudu Mungu wa haki pekeyake yaani Allah
Jioni njema
Huyo allah wako kamwabudu wewe inatosha. Muddy mwenyewe alisema hajui atakachofanywa yeye wala ninyi wafuasi wake.mimi bora unikate kichwa live kuliko kuabudu majini na kubwa lao.Wadau hamjamboni nyote?
Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu ya theolojia
Wagalatia hamna nafasi peponi labda muamue kumuabudu Mungu wa haki pekeyake yaani Allah
Jioni njema
Kobaz ktk ubora wake 😂😂😂 hawa jamaa ni shida.Ona huyu mvaa kobaz....
Hiyo ni mizimu ya kiarabu stuka wewe jombaaWadau hamjamboni nyote?
Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu ya theolojia
Wagalatia hamna nafasi peponi labda muamue kumuabudu Mungu wa haki pekeyake yaani Allah
Jioni njema
Acha kukosa maarifa, Jehova, Mulungu, Mungu, God, Adonai, Allah, nk hayo ni majina tu kati ya mengi yakimaanisha kitu kilekile.Wadau hamjamboni nyote?
Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu ya theolojia
Wagalatia hamna nafasi peponi labda muamue kumuabudu Mungu wa haki pekeyake yaani Allah
Jioni njema
Wewe nani alikudanganya wanataka kwenda kwenye pepo unayoijua wewe?Wadau hamjamboni nyote?