Enyi Wakiristo mnaomuabudu Yehova kamwe hamtaingia peponi, kwani pepo imeandaliwa kwa binadamu waliokufa ilihali wanamuabudu Allah peke yake!

Enyi Wakiristo mnaomuabudu Yehova kamwe hamtaingia peponi, kwani pepo imeandaliwa kwa binadamu waliokufa ilihali wanamuabudu Allah peke yake!

Kweli kabisa ile pepo ya mtume wa mchongo, mtume mzinifu na mbakaji hatutaingia.
Sisi tutaingia kwenye pepo ya Yesu pepo ya wenye akili timilifu.
Ninaweza kukujibu kwa maandiko ila mpumbavu hastahili kujibiwa kwa hekima
 
Mtoa mada yupo sahihi , na bado hamjachanganganyikiwa vizuri , atokee mlokole mmoja na msabato nae aseme wakatoliki hawataenda mbinguni ili kichaa chenu kikamilike kabisa .
 
Wadau hamjamboni nyote?

Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu ya theolojia

Wagalatia hamna nafasi peponi labda muamue kumuabudu Mungu wa haki pekeyake yaani Allah

Jioni njema
Kwani neno Allah lina maana gani na Yehova maana yake nini? Ulivyoandika ni kama ulikuwa unakimbizwa ukakuta watu wamekaa ukaropoka hayo maneno ukaendelea kukimbia! Hujui hata unakokimbilia!
 
Wakristu hawatarajii kuingia peponi. Peponi wanakaa Mapepo. Wakristu wanaingia MBINGUNI ( HEAVEN) na wengine wanaotarajia kufanya ngono na majini jike 72 wao watakwenda kwenye makazi ya MAPEPO ambalo hawatakaa wauone uso wa Mungu Bali adhabu ya milele
🙏🙏🙏
 
Wadau hamjamboni nyote?

Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu ya theolojia

Wagalatia hamna nafasi peponi labda muamue kumuabudu Mungu wa haki pekeyake yaani Allah

Jioni njema
Allah ndo nani huyo??
Mbona unahangaika sana na wagalatia lkn wao wala hawana shobo na wewe
 
Tufanye kila mtu ana pepo yake, nyie mtaenda ya kwenu na sie tutakwenda yakwetu kesi closed.
 
Back
Top Bottom