Hellow!
1. Ni mke wa mtu, unakwnda kwenye closet, Kisha unachagua nguo nusu uchi, inayobana, au mini skirt Kisha unakwenda ofisini ukijua mumeo siye atakayekuwako huko uendako kuuangalia mwonekano wako, Nini hasa huwa umelenga?
2. Ni kijana wa kiume, unazo suruali kabatini, unachagua kipens kinachovuka magoti chenye kubana makalio, miguu yote wazi, ,unakuwa umelenga Nini hasa?
3. Ni mwana wa kiume au Binti, kwa pesa ya jasho lako, unaenda kununua nguo yenye matundu na viraka, dukani kabisa, Ili iweje?
Karibuni 🙏