Enyi wanadamu, Nia hasa ya kuvaa nusu uchi huwa ni ipi?

Enyi wanadamu, Nia hasa ya kuvaa nusu uchi huwa ni ipi?

Ndiyo maana wanasema dini makes people stupid. Ukifuatilia dini utakuwa mnafiki na kukosa malengo ya kuishi duniani.
Dini haiongelewo hapa,

Wanadamu wanakemewa wasikae uchi,

Maana kuvaa nusu uchi na kuroga/wanga hakuna tofauti.
 
Narudia kusema,

Kuvaa nusu uchi ni uchawi.

Jua kuwa WEWE ni mwanga, maana wanga ndio hukaa uchi,

Usisingizie tamaduni au joto ewe mwana wa kuzimu.
No need to repeat yourself, I ignored you just fine the first time.

Akili mgando, umemezeshwa, huna uwezo wa kufikiri anymore, umekua ndondocha mfia dini unayeishi kwa matumaini ingali ukiwa mzigo kwa waliokuleta duniani!
 
Asante kwa kunielewa🙏
 
2. Ni kijana wa kiume, unazo suruali kabatini, unachagua kipens kinachovuka magoti chenye kubana makalio, miguu yote wazi, ,unakuwa umelenga Nini hasa?
wanao vaa vikaptula vifupi ni wale wenye makalio lainii. matangazo biashara
 
Lengo la MUNGU ni wanadamu waishi uchi, ni vile dhambi iliingilia kati ikaharibu tungekuwa tunadunda zetu kariakoo mjegeje upo nje nje!
Sahihi kabisaaa Mjegeje ungekuwa mkubwa sana , hizi habari za vibamia zisinge kuwepo
 
Wewe moyo wako unawaka tamaa, biblia inasema jicho moja likikukosesha kuona ufalme wa Mungu ling’oe kalitupe..!!

Na wewe ng’oa macho yako usione..!!
Tamaa ya kusababishiwa. Jana nilikutana na mwanamke juu kavaa t-shirt, chini kafunga kipande cha kitenge. Kipande kinaishia juu ya magoti yaani paja wazi.
Wanawake wa sasa wamekuwa ovyo sana kwenye suala na kujistiri.
 
Sasa wewe kilikuwasha nini kumtazama? 😹
 
Hicho kichwa cha habari Umeongea kama Yesu
 
Hellow!

1. Ni mke wa mtu, unakwnda kwenye closet, Kisha unachagua nguo nusu uchi, inayobana, au mini skirt Kisha unakwenda ofisini ukijua mumeo siye atakayekuwako huko uendako kuuangalia mwonekano wako, Nini hasa huwa umelenga?

2. Ni kijana wa kiume, unazo suruali kabatini, unachagua kipens kinachovuka magoti chenye kubana makalio, miguu yote wazi, ,unakuwa umelenga Nini hasa?

3. Ni mwana wa kiume au Binti, kwa pesa ya jasho lako, unaenda kununua nguo yenye matundu na viraka, dukani kabisa, Ili iweje?

Karibuni 🙏
Asili ya mwanadamu ni uchi sasa usigombane na watu wanao rudi kwenye asili yao.
 
Nani alishamuona malaika
Waebrania 13:2

Msisahau kupokea wageni, maana wengine walipokea malaika pasipo kujua.

.......Mwisho wa kunukuu.......

Ndipo ujue kuwa malaika SI mara zote huja kwa utukufu na kuonekana na utisho, mara nyingi wamevaa miili na kuja kama watu maskini majumbani mwetu.

Makinika.
 
Back
Top Bottom