Sasa ya sirini yakiwa hadharani, huko sirini utategemea kipi kipya Cha kukuhamasisha?Zama za mawe walikuwa strong sana
Yaani demu anapita uchi wewe uko busy unachonga mawe na kupekecha vijiti ili upate moto
Nguo zimekuja mwaka gani na adamu na eva walikuwa mwaka ganiSasa ya sirini yakiwa hadharani, huko sirini utategemea kipi kipya Cha kukuhamasisha?
Satanic!
Umewahi sikia malaika kamtokea mtu akiwa amevaa kimini au nusu uchi?Lengo la MUNGU ni wanadamu waishi uchi, ni vile dhambi iliingilia kati ikaharibu tungekuwa tunadunda zetu kariakoo mjegeje upo nje nje!
Hujui maandiko,Nguo zimekuja mwaka gani na adamu na eva walikuwa mwaka gani
mwanadamu aliumbwa uchi akaishi bustanini uchi elewa hiloUmewahi sikia malaika kamtokea mtu akiwa amevaa kimini au nusu uchi?
Ikiwa mbinguni wanavaa mavazi ya staha,
Ewe Mwanadamu, umeitoa wapi tabia hiyo ya uchi?
Ndio nawauliza hapa,Lkn picha za Toka zamani naona walikuwa wanavaa min skirt hasa kina mama, kwahiyo tuwaweke kundi gani ?
Atasema ni wakati wa udada au ujana wao mkuu Hana zaidi ya hapoNdio nawauliza hapa,
Kama bibi yako naye alikuwa anavaa mini skirt zama zake,
Muulize Nini hasa ilikuwa Nia yake, akikujibu njoo unambieš
Umuhimu wa nguo japo zimechelewa kuja unapimwa kupitia watu unaowaheshimu mfano mzazi.Nguo zimekuja mwaka gani na adamu na eva walikuwa mwaka gani
SI kweli,mwanadamu aliumbwa uchi akaishi bustanini uchi elewa hilo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hivi zamani watu ndo walkua uchi sana eeh? Kifua wazi nyonyo ziko nje na makalio wazi, afu wamejifunika majani tu ya migomba au magome kwa mbele..Zama za mawe walikuwa strong sana
Yaani demu anapita uchi wewe uko busy unachonga mawe na kupekecha vijiti ili upate moto
Mbona wakiingia bungeni huvaa kwa heshima?wanakuja watakwambia tusipagiane cha kuvaa. tafuta helaaa
Yaani tungekua wanyama wenye mikia zetu mbele tunakula misele tu kubabake...Lengo la MUNGU ni wanadamu waishi uchi, ni vile dhambi iliingilia kati ikaharibu tungekuwa tunadunda zetu kariakoo mjegeje upo nje nje!