Enyi wanadamu, Nia hasa ya kuvaa nusu uchi huwa ni ipi?

Dahh.....😑
Nyerere alikosea sana kuharakisha kumuondoa mkoloni aiseee....😶
 
Yaani tungekua wanyama wenye mikia zetu mbele tunakula misele tu kubabake...

[emoji23][emoji23][emoji23] Sipati picha ingekuaje, imagine..
[emoji23][emoji23][emoji23] hatare mzee ingekuwa kisanga
 
Wewe moyo wako unawaka tamaa, biblia inasema jicho moja likikukosesha kuona ufalme wa Mungu ling’oe kalitupe..!!

Na wewe ng’oa macho yako usione..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…