Enyi wanadamu, Nia hasa ya kuvaa nusu uchi huwa ni ipi?

Umewahi sikia malaika kamtokea mtu akiwa amevaa kimini au nusu uchi?

Ikiwa mbinguni wanavaa mavazi ya staha,


Ewe Mwanadamu, umeitoa wapi tabia hiyo ya uchi?
Mbigu gani hiyo na wanavaaje, hebu tuwekee ushahidi wa picha otherwise hizo longolongo zako ni utapeli kama ulivyo utapeli wa aina yoyote.
 
Lengo la MUNGU ni wanadamu waishi uchi, ni vile dhambi iliingilia kati ikaharibu tungekuwa tunadunda zetu kariakoo mjegeje upo nje nje!
Mpwa πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† nimecheka mpaka kidogo nimuamshe mjomba wako hapa!
 
Una elimu gan mwanazengo???..unajua dhana ya vyombo vya starehe???...
 
Mimi hata pichu tu najionea shida, natamani wangerewind tu hii dunia turudi kwenye zama za kuvaa vibwebwe vya majani bila nguo yoyote nyingine.

Tatizo wewe unafikiria kwa jicho la tamaa ya mwili, acha watu wavae wanavyotaka, yani na joto lote hili tusivae vimini, unataka tufe au tuvunde?
 
Mbigu gani hiyo na wanavaaje, hebu tuwekee ushahidi wa picha otherwise hizo longolongo zako ni utapeli kama ulivyo utapeli wa aina yoyote.
Mara zote malaika waliotumwa kuleta ujumbe kwa wanadamu,

Huja na mwonekano wa mavazi marefu ya heshima, meupe yenye utukufu.

Soma pia Isaya 6:1.
 
Imagine polisi wanakimbizana na wanaCDM pale kisutu uchi
Daaah yani, mapu**mbu na matiti yote yananing'inia tu πŸ˜† πŸ˜† Yani unamuona Mh. Heche yupo nduki, nyuma yake anakimbizwa na mwanamama kamanda wa polisi na kofia yake tu, ingekua balaa na nusu πŸ˜‚
 
Kukaa uchi ni hakuna tofauti na kuroga.

Nusu Uchi ni vazi la wachawi na makahaba..

Usisingizie joto ewe mwana wa Giza.,uzao wa nyoka.
 
Daaah yani, mapu**mbu na matiti yote yananing'inia tu πŸ˜† πŸ˜† Yani unamuona Mh. Heche yukpo nduki, nyuma yake anakimbizwa na mwanamama kamanda wa polisi na kofia yake tu, ingekua balaa na nusu πŸ˜‚
Hahahahaha hatare nimecheka sana 🀣
 
Kukaa uchi ni hakuna tofauti na kuroga.

Nusu Uchi ni vazi la wachawi na makahaba..

Usisingizie joto ewe mwana wa Giza.,uzao wa nyoka.
Acha kuingilia uhuru wa watu kwa sababu ya dini yako uliyoletewa na aliyetaka kukutawala. Rudi kwenye historia ujifunze mababu na mabibi zako walivaa nini. Acha kuwa na kama zezeta usiyeweza kufikiri.
 
Acha kuingilia uhuru wa watu kwa sababu ya dini yako uliyoletewa na aliyetaka kukutawala. Rudi kwenye historia ujifunze kabla mababu na mabibi zako walivaa nini. Acha kuwa na kama zezeta usiyeweza kufikiri.
Narudia kusema,

Kuvaa nusu uchi ni uchawi.


Jua kuwa WEWE ni mwanga, maana wanga ndio hukaa uchi,

Usisingizie tamaduni au joto ewe mwana wa kuzimu.
 
Nguo zetu na hela zetu, wewe pilipili ya shamba inakuwashia nini?
Mbona bungeni mnavaa kwa staha?

Nenda court na kimini kama utaingia?

Iweje mtaani upite uchi?


Kuvaa nusu uchi ni uchawi ewe mwana wa kuzimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…