Wa kupuuzwa
Member
- Oct 2, 2020
- 94
- 63
una Tabia kama za Ex girlfriend wangu"Kwa jinsi ninavyocheza kama nikibahatika Kucheza pamoja na Wachezaji kama Chama, Mkude, Morisson, Dilunga, Miquissone, Morisson na Kipa bora Tanzania Manula Kazi yangu itakuwa nzuri na rahisi kwani ni Wachezaji ambao nawapenda, nawatamani na bahati mbaya sana nilipo sasa sijaona wa Kuwafananisha nao. Huenda Mkopo wangu wa Miezi 6 ukimaliza nikajiunga nao waliko"
Una tabia za 'Shoga' aliyetukuka.una Tabia kama za Ex girlfriend wangu
Timu iliyofungwa mechi 2 ligi na droo kibaohakuna mchezaji Afrika mashariki asietamani kucheza simba
Shabiki wa simba wengi kipindi hiki mna stress sana. Hapo kwa Mukoko mtajitekenya sana,komaeni tu na Morisson ambae mpaka sasa mchango wake bado haujafikia matarajio yenu."Kwa jinsi ninavyocheza kama nikibahatika Kucheza pamoja na Wachezaji kama Chama, Mkude, Morisson, Dilunga, Miquissone, Morisson na Kipa bora Tanzania Manula Kazi yangu itakuwa nzuri na rahisi kwani ni Wachezaji ambao nawapenda, nawatamani na bahati mbaya sana nilipo sasa sijaona wa Kuwafananisha nao. Huenda Mkopo wangu wa Miezi 6 ukimaliza nikajiunga nao waliko"
Sawa,Una tabia za 'Shoga' aliyetukuka.
ukijikuna sehemu ya kutolea haja kubwa usitegemee harufu ya ua waridi."Kwa jinsi ninavyocheza kama nikibahatika Kucheza pamoja na Wachezaji kama Chama, Mkude, Morisson, Dilunga, Miquissone, Morisson na Kipa bora Tanzania Manula Kazi yangu itakuwa nzuri na rahisi kwani ni Wachezaji ambao nawapenda, nawatamani na bahati mbaya sana nilipo sasa sijaona wa Kuwafananisha nao. Huenda Mkopo wangu wa Miezi 6 ukimaliza nikajiunga nao waliko"
Weka chanzo cha habari hii uaminike vinginevyo utakuwa unafanya siasa kama mo dewji leo kwe press na wana habari"Kwa jinsi ninavyocheza kama nikibahatika Kucheza pamoja na Wachezaji kama Chama, Mkude, Morisson, Dilunga, Miquissone, Morisson na Kipa bora Tanzania Manula Kazi yangu itakuwa nzuri na rahisi kwani ni Wachezaji ambao nawapenda, nawatamani na bahati mbaya sana nilipo sasa sijaona wa Kuwafananisha nao. Huenda Mkopo wangu wa Miezi 6 ukimaliza nikajiunga nao waliko"
Pambafu wewe..Umemsikia bilionea MO Leo katika press conference.. Endeleeni kusubiri kama mnasubiri MasiaSasa hapo atletico de mnyero kuna kipi cha ajabu!nyie jiandaeni na maumivu ya chama akiwa kwenye uzi wa yellow and green
Mwamedi ni msanii kama wasanii wenginePambafu wewe..Umemsikia bilionea MO Leo katika press conference.. Endeleeni kusubiri kama mnasubiri Masia
Huyo ndio Bilionea MO ,, wewe endelea kupwelepwetaMwamedi ni msanii kama wasanii wengine
Weka clip wacha kumsemea weweKwani Mkuu kwa ulivyoielewa Wewe hiyo 'Kauli' yake hapo unadhani amemaanisha nini na labda kuna Timu gani 'anaitamani' sana hapa Tanzania?