Wa kupuuzwa
Member
- Oct 2, 2020
- 94
- 63
una Tabia kama za Ex girlfriend wangu"Kwa jinsi ninavyocheza kama nikibahatika Kucheza pamoja na Wachezaji kama Chama, Mkude, Morisson, Dilunga, Miquissone, Morisson na Kipa bora Tanzania Manula Kazi yangu itakuwa nzuri na rahisi kwani ni Wachezaji ambao nawapenda, nawatamani na bahati mbaya sana nilipo sasa sijaona wa Kuwafananisha nao. Huenda Mkopo wangu wa Miezi 6 ukimaliza nikajiunga nao waliko"