Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
Nimekuwa nikashangaa sana kuona sare za chama msibani zimetamalaki!! Lakini Leo Nimeshangaa zaidi kuona sare zimevaliwa na watu wazima kabisa!!
Ni Hivi zamani nilikuwa nikiona sare za chama (CCM) msibani nilikuwa nadhani huenda marehemu alikuwa mwanachama (mwenzao)
Cha ajabu Leo kwenye msiba wa mtoto wa miaka3 tu lakini sare zilizokuwepo pale nimeshangaa sana.
Nikawaza huenda wazazi hasa mwanaume labda ni mwanachama mwenzao ndio maana wamevaa.
Basi nikamuuliza mfiwa Ambae ni mwanaume akasema yeye ni mshabiki wa Simba kuhusu chama hata kura hajui wanapigaje.
Jamaa ni shemeji yangu kamuoa binamu yangu namjua tangu hajaoa alikuwa Hana chama chochote.
Hiki Cha kuja na masare watu zaidi ya30 kwenye msiba wa watu Nini shida yenu? Subirini mfiwe wenyewe Kwa wenyewe ndo mvae hizo sare Zenu.