Hii tabia inazuka na Sasa inakomaa na kukua
Binafsi ni kukosa ustaarabu na utu
Msiba ni mitihani ni kitu kinatakiwa kuunganisha watu wa itikadi zote na vyama vyote vya siasa
Sio tabia ya kiungwana CCM kujivika sare za Chama kama mpo kwenye kampeni, hii tabia mnakera familia za wafiwa
Mfano...
Nimekuwa nikashangaa sana kuona sare za chama msibani zimetamalaki!! Lakini Leo Nimeshangaa zaidi kuona sare zimevaliwa na watu wazima kabisa!!
Ni Hivi zamani nilikuwa nikiona sare za chama (CCM) msibani nilikuwa nadhani huenda marehemu alikuwa mwanachama (mwenzao)
Cha ajabu Leo kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.