ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,871
- 39,881
Hii tabia inazuka na Sasa inakomaa na kukua
Binafsi ni kukosa ustaarabu na utu
Msiba ni mitihani ni kitu kinatakiwa kuunganisha watu wa itikadi zote na vyama vyote vya siasa
Sio tabia ya kiungwana CCM kujivika sare za Chama kama mpo kwenye kampeni, hii tabia mnakera familia za wafiwa
Mfano nimeona huko za Zanzibar kwenye msiba wa Charles na kwenye mazishi ya Msuya waziri mkuu Mstaafu, ambao hawa walikuwa watumishi wa umma walilipwa mishahara Kwa Kodi zetu wote, si sawa CCM kuitumia misiba kama fursa
Huu ushamba ukome