Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 13,987
- 27,554
bado sijaona tatizo liko wapiWewe ukifiwa waje mashabiki wamevaa sare zao utafarijika na hiyo hali
Msiba sio mkutano wa Kisiasa, wafiwa wanahitaji kufarijiwa na watu wote sio CCM tu