Setfree
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 6,238
- 8,194
Mwanaume akiishaota ndevu na masharubu, anaanza kuwa na kiburi. Anamdharau mwanamke. Anasahau mama yake ni mwanamke. Anasahau mwanamke ndiye aliyemtunza tumboni miezi 9. Akamzaa. Akamfuta kinyesi na kumvalisha nepi. Anasahau alikuzwa na maziwa yaliyotoka kwenye titi la mamaye mwanamke.
Enyi wanaume acheni kuwadharau wanawake. Wapeni maua yao.
Ndio sababu mnakufa mapema kwa sababu mmeacha kutii agizo hili la Mungu:
Waefeso 6:2-3
"Waheshimu Baba na mama yako,” hii ndiyo amri ya kwanza ambayo imeongezewa ahadi, yaani, Upate fanaka na kuishi miaka mingi duniani.
Naongea na wewe unayethubutu kumwita mwanamke "mpumbavu."
Nimeongea na wewe unayethubutu kumwambia mwanamke eti hana akili. Ukimdharau mwanamke unamdharau pia mama yako. Angekutupa chooni siku alipokuzaa ndio akili zingekukaa vizuri ndani ya shithole. Mshukuru mama yako hakukufanyia ukatili huo.
Nimekupa vidonge hivyo, meza upone.