Enyi wanaume, kumbukeni mlikotoka - acheni kuwadharau wanawake


Anayemdharau mama yake, siku zake za kuishi zitapungua.

Anayemdharau mke wake Mwenyezi Mungu hapendi. Hata sala zake hazitasikiwa
 
Hapana siis Wala hatujaanza kuwaita ila matendo yenu yanasema ebu fikiria


  1. Kaolewa anakuja mtu akamwambia anampenda anaacha ndoa anaenda yalimkuta anarudi analia
  2. Anaua mwanae wakumzaa kabisa
Ila wote haya mbona sisi hatuhusiki kabisa kama ulivyo andika mafungu basi na hili lisome

Proverbs 14:1
[1]Every wise woman buildeth her house: but the foolish plucketh it down with her hands.
Kila mwanamke aliye na hekima hujenga nyumba yake; Bali aliye mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe.
 
sijaona mahali unapoonesha jinsi mwanamke anavyodharauliwa

kuitwa "mpumbavu", kuambiwa "huna akili" sio shida, shida ni kwanini unaambiwa hivyo

mama kanibeba tumboni kwasababu ni asili yake, akifanya ujinga watu watamkosoa tu
 
Halafu kuna visichana mtaani vikifika miaka 13 mpaka 19 huwa na nyodo flani sijui hutokea wapi?. Vititi vikichomoza hata salamu hawataki tena wanakuwa na jeuri tuuu.

Mleta uzi mama anapewa heshima yake lakini baba anahitaji heshima zaidi ila wao hawalalami kabisa.

Ukiona mama hupewi heshima na mwanao wa kiume ujuwe kuna siku alikuona ukimsaliti baba yake. Wanaume hatuongelei sana sababu za kuachana lakini wanawake watasema watakalo sema.
 
Ahaa kwani tunawadharau basi !?? Labda wajishushie heshima kama wa River side ndo huwa tunawaona ni wapumbavu.
 
Anayemdharau mama yake, siku zake za kuishi zitapungua.

Anayemdharau mke wake Mwenyezi Mungu hapendi. Hata sala zake hazitasikiwa
Waambie kwa SAUTI KUBWA labda watakusikia
 
Wanawake ni viumbe muhimu sana kwenye maisha ya mwanaume, hakika nawaheshimu sana wanawake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…