Enyi wanaume wapendwa

Enyi wanaume wapendwa

Sogea tuishi mwaka huu utampata tabu sana, tatizo mkija geto mkiona jamaa kajipata mnaamia na shangazi kaja zako huku ukisubir ndoa fake........

......kama sio bikra huna kazi wala biashara ya maana kwenu sio matajir tushagoma hatuoi labda tuzae uwe single mother....
 
Nawatakia binti zenu mliowazaa au mtakaowazaa na wakutane na wanaume kama wewe.

Nimemaliza.

Ukweli unaoumiza.
Kuna wengine uanaume umezidi mpaka hatuna na hatutakuja kuwa na mabinti.

Kola ukigusa unatoa kidume tu.
 
Back
Top Bottom