Enyi wanawake acheni ligi na wanaume mtaumia

Hiyo wataalam wa keram.....tunaita kurudi ribon (rebound)

Au waswahili wanasema akuanzae mmalize
 
Sikuambii umsamehe, ila unge mlegezea tu, usilipe ubaya kwa ubaya.. Amna haja ya kufilisi duka lake, nadhani mpaka hapo kajifunza...b
Kitu kingine unaonekana mtu wa maugomvi, sikuingine ukiwa unapigana njia rahisi ya kushinda ugomvi ni kukimbia.

Mwisho kabsa napenda kukushukuru kwa simulizi yako imenichekesha sana hasa pale ulipo pigwa kichwa kizito cha timing
 
Ningekuwa mimi ningemuita aje nyumbani tuongeee vizuri.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…