FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Porojo tu huyo.So huyo dada alivyomlipisha jamaa laki tatu ni sawa ila jamaa kudai simu yake sio sawa na ukiambiwa huna akili hutaki🚮😂😂
Story za mtandao tu hizi, 99% story yake haina ukweli.
Paukwa pakawa, ukweli njoo, uongo njoo, utam kolea.