Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Jioni hii nikiwa hapa nje kibarazani, nawasikia wanawake hapo koridoni wanamteta mshkaji mmoja hivi mpangaji kuwa anapenda mbunye lakini ni mbahili. Jamaa ana mwezi wa tatu tokea aondoke kwenda kijijini kuhudumia ujauzito, cha ajabu wanamsema kwa kutumia wakati uliopo. Nimejiongeza tu nikajua wananisema mimi
Enyi wanawake, sio kwamba hatupendi kuwapatia pesa, tunapenda sana tu, sema inategemeana na upatikanaji wake. Eti nikabebe zege nipandishe ghorofa ya tatu halafu niambulie afu tatu, halafu ndani ya wiki moja ya kuweka kibubu, ile nakivunja tu kutazama 12k yangu kama ipo, muda huo huo unatuma sms eti "Nitumie 10k nikasuke, usisahau na ya kutolea" Ewe mwanamke, jipigie tu hesabu ya ubinadamu ungekuwa mimi, jaribu tu kuvaa viatu vyangu, ungetoa? Basi sawa, let say moyo umeniambia nikutumie afu tatu, nakuuliza kama imefika unaishia kunitukana na kuniuliza kuwa hako ka kijisenti ndo kanakonifanya nikusumbue sumbue!
Muweni na huruma jamani. Mmepewa bure, basi tugeieni bure!