Enyi wanawake! Kuoelewa kwa mahari ya laki Tano ni aibu kwa mwanamke!

Enyi wanawake! Kuoelewa kwa mahari ya laki Tano ni aibu kwa mwanamke!

Kifulu

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2021
Posts
557
Reaction score
2,064
Mahari ni kama zawadi ya shukran kwa familia ya mwanamke juu ya malezi na ukuzaji.

Sasa kama una mwanaume unampenda 500k ni ndogo kuoelewa

Emu naombeni msaada
Tumieni sana busara
 
Hiyo ni biashara ya manunuzi, una nadi bidhaa mpaka mnunuzi afike bei
 
Kule india nasikia wanawake ndio wanalipa mahari!!!
 
Mwanamke anaye taka ndoa kwa mahari ya buku aje pm
 
Mahari ya 1M+ ni kwa wanawake bikra tuu.
Mahari ya 1M- ni kwa wanawake ambao sio bikra ila wanajiweza kimaisha.

Tofauti na hapo hakuna kutoa mahari.
 
Mahari ni kama zawadi ya shukran kwa familia ya mwanamke juu ya malezi na ukuzaji.

Sasa kama una mwanaume unampenda 500k ni ndogo kuoelewa

Emu naombeni msaada
Tumieni sana busara
Kwani ka Omary kalilipa mahari ya shilingi ngapi?
 
Kuna watu walipiga bi harusi kwa chips kavu, harafu kwangu laki 5 iwe ndogo!
 
Back
Top Bottom