Enyi wanawake wa JF. . . . !!!!

Kama mwanamke SEALED wouldnt judge the other person otherwise. Kama keshaonja mitwangio mingi, atakuheshimu, maana mwanaume bikra very rare.
 
MadameX,hebu nitafsirie hiyo ver rare ndo nini vile. .Lol!
 
Eiyer hiyo sasa siri yangu, au kwa nini usimuulize Kaunga Kuwa alitongozwaje na wewe??

Inaonekana umesahaueee!Yeye ndo alinitongoza,hatujado lakini!Namsubiri aje aitoe bikra yangu. . . .Lolz!
 
Last edited by a moderator:
mwanaume akiwa 'bikra' anaogopwa sana kwani mh, huyu akionja tu asali hiyo hakawii kunogewa na kuwa limbukeni wa mapenzi na kutaka kujaribu kila amuonaye..anakuwa ndio anaanza wakati mwenzake anataka atulie....so ni bora ugonge kwanza uanze kupata experience kuliko kuwa beginner uanze kusumbua watu wakufunde!
 
Binti sayuni kwahiyo na mimi nikipata sitahangaika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…