Enyi wanawake wa Tanzania nani aliwaloga kuhusu michezo ya kuwekeana pesa?

Siyo michezo yote ni mibaya, Mimi pia mchezo wa hela inapita kwa kijumbe siutaki! Mchezo mzuri ni ule ambao mna group la what's up na mtu mwenye zamu ya kupokea anaweka no ya simu/acc ya bank yake na kila mmoja anamtumia...... inasaidia sana kutokudhulumiana nk

Msituone wamama hatuna akili hii michezo inasaidia kukusanya Ada za watoto,kodi na hata wengine tunajenga kwa njia hii kikubwa ni uaminifu na nidhamu, zaidi muwe mnajuana mna shughuli za halali kama mnafanya kazi au biashara muhimu ni uhakika wa kulipa hasa ukiwa umeshakula za wenzio.
Ada which? Kodi which? labda kama huyo mwanaume hapatikani kwenye ramani
 
Ada which? Kodi which? labda kama huyo mwanaume hapatikani kwenye ra

Ada which? Kodi which? labda kama huyo mwanaume hapatikani kwenye ramani
Sisi wengine waume zetu wametoka familia duni hivyo lazima tusaidiane mambo yaende...... watoto wa 4 wote wanasoma shule za kulipia yaani nimuachie kila kitu wakati Mimi nafanya kazi?! Nacheza michezo ofisini na tulianza 2017 hayo ya dhulma nasoma km hivi mitandaoni!

Hongera kwakutokuwa na which ya Ada wala which ya kodi SI unajua vidole havilingani😊
 
Hii sasa imevuka mipaka. Migogoro na ugomvi ni wa kutosha baada ya kudhulumiana pesa. Michezo ni mingi mno. Kuna hadi michezo ya vyombo. Michezo karibu yote haifuati sheria wala utaratibu unaoeleweka. Mbaya zaidi utakuta vikundi vingine ni vya ONLINE.

Wewe mwanamke wa Tanzania nakuamuru achana na huo upuuzi unaoitwa mchezo. Kama huna nidhamu ya pesa usidhani michezo itakusaidia. Hiyo hela unayotunza kila siku kwa kijumbe si uongezee mtaji wako wa biashara? Wengi wenu mmekuwa Low Profile ili mpate hela za mchezo. Kuna ambao mnacheza michezo ya hela nyingi ndo mmekuwa hatarini zaidi.

Kama unataka kutunza pesa zako nenda benki iliyoko karibu nawe watakushauri namna sahihi na salama ya kuhifadhi pesa zako. Wanaume wanaoshiriki michezo pia waache huo upuuzi.
Unaelewa vizuri kuhus mchezo au unaongea kulingana na uelewa wako? Huu mchezo unafany watu wananunuwa viwanja na huu mchezo unasaidia kulipa Ada mavyuoni unatuambiaj tuache?
 
Mfano, Kwa mtu wa kawaida kabana Bana bajeti zake za Kula kwa kila siku inabaki elf3, hiyo elf3 ikikaa ndani sio hela kuwahiyo ni Bora mchezo utamsaidia kwa hiyo elf3 yake ndani ya siku50 inazaa inakuwa laki na nusu fikiria kama huyu mtu kaingia majina mawili au manne ndani ya siku50 anabei gan? Si tayar kashapat hela ya Ada hapo kuliko kutunza hela ndani mda wote waimezea mate.
Hii sasa imevuka mipaka. Migogoro na ugomvi ni wa kutosha baada ya kudhulumiana pesa. Michezo ni mingi mno. Kuna hadi michezo ya vyombo. Michezo karibu yote haifuati sheria wala utaratibu unaoeleweka. Mbaya zaidi utakuta vikundi vingine ni vya ONLINE.

Wewe mwanamke wa Tanzania nakuamuru achana na huo upuuzi unaoitwa mchezo. Kama huna nidhamu ya pesa usidhani michezo itakusaidia. Hiyo hela unayotunza kila siku kwa kijumbe si uongezee mtaji wako wa biashara? Wengi wenu mmekuwa Low Profile ili mpate hela za mchezo. Kuna ambao mnacheza michezo ya hela nyingi ndo mmekuwa hatarini zaidi.

Kama unataka kutunza pesa zako nenda benki iliyoko karibu nawe watakushauri namna sahihi na salama ya kuhifadhi pesa zako. Wanaume wanaoshiriki michezo pia waache huo upuuzi.
Na kuhusu kuibiana kweny mchezo inategemea na nyinyi wenyew mko Vipi, kama mmekutana kilammoja anajuwa lengo lake nin sidhani kama kutakuwa na konakona kwenye mchezo wenu coz kilamtu anajuwa anachotaka
 
Hii sasa imevuka mipaka. Migogoro na ugomvi ni wa kutosha baada ya kudhulumiana pesa. Michezo ni mingi mno. Kuna hadi michezo ya vyombo. Michezo karibu yote haifuati sheria wala utaratibu unaoeleweka. Mbaya zaidi utakuta vikundi vingine ni vya ONLINE.

Wewe mwanamke wa Tanzania nakuamuru achana na huo upuuzi unaoitwa mchezo. Kama huna nidhamu ya pesa usidhani michezo itakusaidia. Hiyo hela unayotunza kila siku kwa kijumbe si uongezee mtaji wako wa biashara? Wengi wenu mmekuwa Low Profile ili mpate hela za mchezo. Kuna ambao mnacheza michezo ya hela nyingi ndo mmekuwa hatarini zaidi.

Kama unataka kutunza pesa zako nenda benki iliyoko karibu nawe watakushauri namna sahihi na salama ya kuhifadhi pesa zako. Wanaume wanaoshiriki michezo pia waache huo upuuzi.
Benki wahuni tuu boora ata hela yako ufiche kwenye simtank
 
Waache Wanawake wajiwekee akiba, maana siku hizi Wanaume tumekuwa wavivu kuhudumia, Wala kununua vitu vya ndani

Unakuta Mume anatoa shilingi elfu 30 anamwambia Mke eti hela ya kutumia wiki mbili 🙌

Bora hiyo michezo inawasaidia
Buku 30 mbona hela nyingi sana hiyo kwa wiki mbili....mke akishindwa budget hapo basi huyo sio wife material...anaendekeza anasa
 
Kuna Wanawake wanapitia changamoto sana kwenye ndoa zao

Unakuta Mume mlevi, Wala hajali familia yake

Ukimuuliza Mke mara ya mwisho amenunuliwa lini nguo ya ndani na Mumewe, anakwambia hajawahi[emoji119]

Bora hivyo Vikoba vyao vinawasaidia
Na wwe chupi ya mke wa mtu inakuhusu nini hadi unaulizia kama kanunuliwa chupi mpya na mumewe!!??
 
Sii nakuoea wewe hela unanitunzia le shangazi....nina kiwanja nataka nikiendeleze hela ikikaa kwangu naishia kucheze KKK za mashangazi ndio shida
😋😋😋😋😋Nakutunzia hamna shida,leo jioni tuwe na kikao cha dharula tuanze utekelezaji mara moja
 
Halafu tunaoumia ni sisi wanaume, kutwa kuombwa pesa za mchezo , huwa nasikia hasira sana kuombwa pesa za michezo.., maana wakati wa kuvunja hivyo vikoba wala hushirikishwi, ila kwenye kuweka sasa..
Sii mbususu unapewa lakini baada ya kumpa hiyo hela ya mchezo
 
Back
Top Bottom