Enyi wapambanaji, "Kama kazi yako, hujawahi kutana na polisi au vyombo vya usalama" kuwa tajiri Ni ndoto!

Enyi wapambanaji, "Kama kazi yako, hujawahi kutana na polisi au vyombo vya usalama" kuwa tajiri Ni ndoto!

Lugano5

R I P
Joined
Jul 15, 2010
Posts
4,520
Reaction score
757
Enyi wapambanaji, "Kama kazi yako, hujawahi kutana na polisi au vyombo vya usalama" kuwa tajiri Ni ndoto!

Utakuwa na maisha ya kawaida Sana, shida ZITAKUWA nawe kila siku, lakini kamwe hutoweza kuwa tajiri ktk maisha haya.

"Lakini Kama kazi yako unayoifanya una misuko suko ya kukutana na polisi,kamatia hapohapo,lazima utoboe"
 
Wengi wao wanatoboa, ebu fikiria mtu ananyang'anywa kila kitu chake,kesho karudi njia Ile Ile.

Ndo ujue pesa ipo huko, ananunua kitu kwa 1000 ,akimuotea wake anapiga 35,000
Hebu tupe mfano halisi wa kitu cha 1,000 ukauze 35,000
 
Back
Top Bottom