Bro,Ni mtazamo wako vipi kuhusu kua pusha😃😃
Dili haramu ndo Zina pesa kwenye risk kubwa ndiko faida IPO kubwaBro,
Huo ndio ukweli,kaa fikiria kazi yoyote HALALI, wengi maisha yao ni ya kawaida sana ana nyumba ,mke ,gari na watoto" huyu unamkuta hata polisi hajawahi kanyaga
Wengi wao wanatoboa, ebu fikiria mtu ananyang'anywa kila kitu chake,kesho karudi njia Ile Ile.unataka kusema machinga ndio watakuwa matajiri?? 😅
Wengi wakwepa Kodi ndio wenye pesabila kusahau wanaofanya biashara halali bila kukwepa kodi.
HahahahahahaSisi madereva wa bodaboda kila siku tunakamatwa na ni matajiri kwerikweri
Sio sahihiSisi madereva wa bodaboda kila siku tunakamatwa na ni matajiri kwerikweri
Ingekua hivyo bodaboda wote wangekua mabilionea, maana kila siku wanalala polisi
Kitu gani icho cha 1000 unauza 35,000?Wengi wao wanatoboa, ebu fikiria mtu ananyang'anywa kila kitu chake,kesho karudi njia Ile Ile.
Ndo ujue pesa ipo huko, ananunua kitu kwa 1000 ,akimuotea wake anapiga 35,000
Labda nyetiKitu gani icho cha 1000 unauza 35,000?
Dr slaa akiwa mwenye akili timani aliwahi sema gongo ihalalishwe na akatoa sababu zinazokubalika ,gongo maneo ya Kanda ya ziwa ndo pombe ya kienyeji inapikwa waziwazi na kuuzwa vilabuni
Nawauzaji washalala sana police, vipi wameshatoboaaa?Dkt. slaa akiwa mwenye akili timani aliwahi sema gongo ihalalishwe na akatoa sababu zinazokubalika ,gongo maneo ya Kanda ya ziwa ndo pombe ya kienyeji inapikwa waziwazi na kuuzwa vilabuni
Hebu tupe mfano halisi wa kitu cha 1,000 ukauze 35,000Wengi wao wanatoboa, ebu fikiria mtu ananyang'anywa kila kitu chake,kesho karudi njia Ile Ile.
Ndo ujue pesa ipo huko, ananunua kitu kwa 1000 ,akimuotea wake anapiga 35,000