unataka kusema machinga ndio watakuwa matajiri?? [emoji28]
bila kusahau wanaofanya biashara halali bila kukwepa kodi.
Kuwa "tajiri" ni zaidi ya kupata hekaheka ma polisi..Enyi wapambanaji, "Kama kazi yako,hujawahi kutana na polisi au vyombo vya usalama" kuwa tajiri Ni ndoto!
Utakuwa na maisha ya kawaida Sana, shida ZITAKUWA nawe kila siku, lakini kamwe hutoweza kuwa tajiri ktk maisha haya.
"Lakini Kama kazi yako unayoifanya una misuko suko ya kukutana na polisi,kamatia hapohapo,lazima utoboe"
Acha aendelee kujidanganyaSisi madereva wa bodaboda kila siku tunakamatwa na ni matajiri kwerikweri
Tatizo wana penda sketiIngekua hivyo bodaboda wote wangekua mabilionea, maana kila siku wanalala polisi
Polisi wenyewe Ni chombo Cha usalamaKha! Hebu tofautisha kati ya polisi na Vyombo vya Usalama?!
Hivi nyinyi Usalama mnawachukuliaje?! 😃
TshKwani utajiri unaanzia Tsh ngapi?
ndio Sana
Hatukwepi kodi... tunalipa kidogo. Hakuna kitu ngumu kama kukata % kwenye mapato yako. Zaka inatushinda ndo izo 30% za serikali?bila kusahau wanaofanya biashara halali bila kukwepa kodi.
KAZI ipi iyo MkuuNiliwaza zamani sana hivi nikasema niwe jambakuzi wa kutisha ila sasa yaliyonikuta ni mfadhaiko wa moyo baada ya kuwa na vitendea kazi vyote ila shida ikaja niliposoma uzi wa UMUGHAKA nikajikuta siitaki tena hiyo kazi wacha niendelee kula hela za tarehe 23
Huyo sasa sio machinga, huyo ni pusha anatumia umachinga kama cover.Unawachukulia machinga poa? Machinga Ameshika mabegi na vitu vya kuzugia begi moja jipya ana mrungi na kete za bangi unamuona machinga anazurura kwa magufuli bus terminal lakini kila jioni hesabu anayofunga wewe kaote ndio utaipata