Enyi wapambanaji, "Kama kazi yako, hujawahi kutana na polisi au vyombo vya usalama" kuwa tajiri Ni ndoto!

Uzi wako hauna mantiki ,, ungesema Maisha ya mwanadamu bila kutumia akili kutoboa ni kazi Sana,,na wengi wanaotumia akili zaidi kwa Nchi kama ya Tanzania ndio waliotoboa,, eti kukamatwa na kulala police ndio kipimo cha kutoboa utasubiri Sana,, mwisho utaishia jela...
 
Kitu gani icho cha 1000 unauza 35,000?
Miso, ni dawa ya vidonda vya tumbo lakini wanawake wanatumia kwenye kutolea mimba, bei ya jumla ni 200, pharmacy ni 1000 ila uwe na cheti cha Daktari, njia za panya wanauza mpaka 45,000
 
Miso, ni dawa ya vidonda vya tumbo lakini wanawake wanatumia kwenye kutolea mimba, bei ya jumla ni 200, pharmacy ni 1000 ila uwe na cheti cha Daktari, njia za panya wanauza mpaka 45,000
Wapi misoprostol inauzwa 200 au 1000?? Bei yake ni 2000, alafu machinga atatolea wapi miso? Inayouzwa mtaani kwa 45,000 ni combipack ya Misoprostol na Mifeprestine ambayo unaipata kwa 10,000 jumla.
 
Inategemea unakutana nao mara ngapi kwenye shuguli zako

Ova
 
Wapi misoprostol inauzwa 200 au 1000?? Bei yake ni 2000, alafu machinga atatolea wapi miso? Inayouzwa mtaani kwa 45,000 ni combipack ya Misoprostol na Mifeprestine ambayo unaipata kwa 10,000 jumla.
Inawezekana ndugu huna tafasiri halisi ya neno machinga
 
Machinga kila leo wanakimbizana na mgambo
Bodaboda askari ni adui zao.

Kuna mzee huku alipata maeneo ya urithi saa hizi don ile mbaaya na sijawahi sikia ishu za polisi kwake.

Huo ni mtizamo tu.
 
Unamaanisha kwamba utajiri lazima uendane na uvunjwaji wa sheria?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…