Enyi wazazi mliozidiwa urefu na watoto, mnadeal nao vipi kwenye suala la adabu / discipline?

Enyi wazazi mliozidiwa urefu na watoto, mnadeal nao vipi kwenye suala la adabu / discipline?

Bible inasema mlee mtoto katika njia impasayo naye hata iacha hata atakapokuwa mzee .Kama katika early age utazembea kuplay your part kama mzazi tarajia kuvuna ulicho panda haijalishi mzazi ni mrefu au mfupi ,tajiri au wanamna yeyote ile.
 
Duu nishindwe kum discipline mtoto kisa kanizidi urefu🥺😳😳 yaani ataujutia hata huo urefu wenyewe, atatamani awe mfupi.
 
mimi 5'8, wife 5'4, mtoto 16 years 6'0 kasoro

leo alichelewa kurudi na imeanza kuwa kama tabia ikabidi nisimame nimgombeze, Ile hofu aliyokuwa nayo hapo zamani pindi akikosea siwezi kuiona tena, ni kama vile anaona kisa urefu tunaweza kuendana.
Usianze kumgombeza mtoto kabla ya kujua kilichomsababisha achelewe. Mtoto anaweza kuchelewa kutikana na sulubu anazopewa na kondakita wa daladala, anafika nyumbani anakutana na sulubu zako badala ya wewe kujua kilichomsibu!
 
mimi 5'8, wife 5'4, mtoto 16 years 6'0 kasoro

leo alichelewa kurudi na imeanza kuwa kama tabia ikabidi nisimame nimgombeze, Ile hofu aliyokuwa nayo hapo zamani pindi akikosea siwezi kuiona tena, ni kama vile anaona kisa urefu tunaweza kuendana.
Picha!
 
Ukimueshimu mtoto wako hadi naye akajua kuwa unamuheshimu naye atakuheshimu ...wazazi wengi ni wapumbavu ujipa sifa na utukufu na heshima ambazo watoto awazijui au awazioni ..ni kama ccm inavyo jitukuza kwa wananchi kuwa wao wanamanufaa makubwa kwa watanzania ila sisi tukitazama tunaona kunyume chake hivyo kuzalisha vita nyoyoni na chuki na kiburi, dharau ,matusi na kuto kuheshimiana nk..

Tatizo wazazi na viongozi wengi ni kujipa utukufu wasiokuwa nao mbele ya watoto wao au mbele ya wanao waongoza .
 
16 Yrs 6'0... Na binadamu anakua mpaka near 20... 🤔🤔

Soon utakuja kutwambia umekula mitama
 
Siunamwita unamwambia akatafute sehemu ya kulala nakula nakuvalishwa tu pap kama haniheshimu ila ukiona hueshimiwi mama ndio analisha familia
Akili mbovu za wanawake ni kama akili mbovu za CCM TU za kuwa ambia watanzania waamie burundi ...
CCM NA WANAWAKE AKILI ZAO NI SAWA NDIYO MAANA WANATEGEMEANA SANA ...CCM INAMTEGEMEA SANA MWANAMKE KUBAKI MADARAKANI
 
Back
Top Bottom