wastani kwa idadi
JF-Expert Member
- Jun 28, 2024
- 503
- 1,432
Bila picha habari hii haijakamilikaHasa wale walio kwenye rika la balehe kukolea sambamba na kiburi miaka 14 hadi 17
kuna ile hali ni kama anaanza kukuchukulia poa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tandika fimbo au una muogopa [emoji38]
Kuwa na daughters, hawana shida.Hasa wale walio kwenye rika la balehe kukolea sambamba na kiburi miaka 14 hadi 17
Kuna ile hali ni kama anaanza kukuchukulia poa.
Usianze kumgombeza mtoto kabla ya kujua kilichomsababisha achelewe. Mtoto anaweza kuchelewa kutikana na sulubu anazopewa na kondakita wa daladala, anafika nyumbani anakutana na sulubu zako badala ya wewe kujua kilichomsibu!mimi 5'8, wife 5'4, mtoto 16 years 6'0 kasoro
leo alichelewa kurudi na imeanza kuwa kama tabia ikabidi nisimame nimgombeze, Ile hofu aliyokuwa nayo hapo zamani pindi akikosea siwezi kuiona tena, ni kama vile anaona kisa urefu tunaweza kuendana.
Picha!mimi 5'8, wife 5'4, mtoto 16 years 6'0 kasoro
leo alichelewa kurudi na imeanza kuwa kama tabia ikabidi nisimame nimgombeze, Ile hofu aliyokuwa nayo hapo zamani pindi akikosea siwezi kuiona tena, ni kama vile anaona kisa urefu tunaweza kuendana.
Ukimueshimu mtoto wako hadi naye akajua kuwa unamuheshimu naye atakuheshimu ...wazazi wengi ni wapumbavu ujipa sifa na utukufu na heshima ambazo watoto awazijui au awazioni ..ni kama ccm inavyo jitukuza kwa wananchi kuwa wao wanamanufaa makubwa kwa watanzania ila sisi tukitazama tunaona kunyume chake hivyo kuzalisha vita nyoyoni na chuki na kiburi, dharau ,matusi na kuto kuheshimiana nk..mimi 5'8, wife 5'4, mtoto 16 years 6'0 kasoro
leo alichelewa kurudi na imeanza kuwa kama tabia ikabidi nisimame nimgombeze, Ile hofu aliyokuwa nayo hapo zamani pindi akikosea siwezi kuiona tena, ni kama vile anaona kisa urefu tunaweza kuendana.
Akili mbovu za wanawake ni kama akili mbovu za CCM TU za kuwa ambia watanzania waamie burundi ...Siunamwita unamwambia akatafute sehemu ya kulala nakula nakuvalishwa tu pap kama haniheshimu ila ukiona hueshimiwi mama ndio analisha familia