Mr Why
JF-Expert Member
- Nov 27, 2019
- 2,235
- 4,252
Enyi wazee wa kiafrika wenye miaka 60 kazini ondokeni achieni vijana nafasi kwasababu wana ujuzi mpya, mnang’ang’ania kana kwamba hamjazaa
Enyi wazee wetu miaka 60 ya kustaafu imeshatimia bado hamuachii viti mmekua kama hamjazaa mbona vijana tupo
Vijana wenye ujuzi mpya wapo mitaani wanahangaika ninyi hamtaki kuwapisha mmewazaa na kuwasomesha wa kazi gani
Mmeharibu kabisa maana ya neno kizazi kipya sasa
Degree ya 1990 sio sawa na ya 2020 tunataka maendeleo mapya
Nendeni nyumbani mkapumzike mkalee wajukuu waacheni vijana wawasaidie kazi au hamchokagi
Tunathamini sana mchango wenu tuje tusaidie kumaliza palipobakia
Igeni mfano kwa Mzee Makamba
View: https://youtu.be/2YigRsgYj5E?si=aj2Mp7wgp1SIsFWC