Enyi wazinzi ujumbe wenu huu

Ukiwekwa mtu kati ndo utaelewa
 
Kazi ya ma ex ni kuvunja ndoa ukitaka ndoa yako ifike mwisho kuwa na mazoea ya kuchart chart na ma ex ni lazima mtakumbushia tu kumbuka wizi ni mtamu kwa sababu dhambi ni tamu.
Kuwa karibu na ma ex wako kama hautaki ndoa yako
 
True story
 
Kwa maana mshahara wa dhambi ni mauti; bali karama ya Mungu ni uzima wa milele katika Kristo Yesu Bwana wetu.
Romans 6:23

Dhambi yoyote ile mwisho wake sio mzuri.
Silika ya dhambi ni tamu lakni chungu
 
Hiyo ndio dawa sahihi ya watu wanaokula wake za watu
 
Tafsiri ya mke halali ni yule uliye na mkataba nae kisheria ya ndoa, nje ya Hapo ni uzinzi
 
Ukiwekwa mtu kati ndo utaelewa
πŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒPiga tizi,kula vizuri,lala masaa ya kutosha,punguza stress maisha ndo hayahaya.Tafuna mbususu acha kutisha watu nyie vipi.

Jifunze kutafuta furahi nje ya watu itakusaidia kulinda afya yako ya akili.Hapa duniani hakuna cha PEKEAKO.Pia kaa ukijua kuwa ni muda wako this time around but anytime anywhere you are REPLACIBLE!!!


Ona aibu basi,utaweka wangapi,watu wengine mbavu alafu mamafia anakuweka wewe na mke wakoπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Malaya wamejaa why wake za watu kufuata kifo
 
Dhambi ya uzinzi ni mbaya umevunja agano,umemkosea Mungu wako,mume wake,umefungulia roho ya talaka,hatia ya kutesa watoto wako.
Ipo laana ya kulala na mke wa mtu ni karma
siyo kweli, labda uwe umebaka, lkn kama ulaji wako wa tunda la eva ni consensual, na linafanya ndoa ya mistress iimarike zaidi, dhambi inatoka wapi? i.ehiyo inaitwa ni AFFAIR na siyo EXTRAMARITAL RELATIONSHIP (zingatia tofauti ya hiyo misamiati miwili)
 
Mtu yeyeto akishazini nje thamani yake kwenye ndoa upungua anakuwa anaishi kwenye ndoa feki
 
Mtu azinie na mwanamke Hana akili kabisa.
Furaha yako ipo ndani mwako na sio nje yako
 
Chineke 😝😝
 
Hakunaga siri idumuyo kama unataka maisha ya uzinzi please usile kiapo cha ndoa kiapo ni laana unapoapa iwe kanisani au kazini haupo peke yako viumbe vya roho ushuhudia thus watumishi ufukuzwa kazi kwa rushwa, kwa sababu si uliapa.?
Kiapo ni karma taleta somo lake ili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…