The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 1,497
- 2,681
- Thread starter
- #21
Ukiwekwa mtu kati ndo utaelewaIn a real sense shida ni kutokuwa na uwezo wa kudhibiti hisia( weak emotional inteligence,EIQ).
Hii inawapata wanaume wadhaifu(SIMPS)akina Aziz Ki ambao hawajui maana ya mapenzi na ngono.Nyie wahongaji acheni kutisha watu.Na msipo acha tabia ya kuhonga ndo mpendwe nasemaje mgongewe tu hao wanawake zenu,maana hakuma namna.
Swala la kufumwa ugoni hiyo ni ajali kazini.Kama huna uwezo wa kumiliki mwanamke kaeni kando sasa ukiua ndo utafaidika na nini zaidi ya kuishia jela.
Tumieni akili,ukipewa uchi piga kwelikweli kama ndo mara yako ya mwisho😀😀😀acheni utani.Piga haswaa leta utani bodaboda wakusaidie. UTAWATISHA WANGAPI BWANA WEWE.
Piga tizi,kula vizuri,lala masaa ya kutosha,punguza stress maisha ndo hayahaya.Tafuna mbususu acha kutisha watu nyie vipi.
