Enyi wazinzi ujumbe wenu huu

Enyi wazinzi ujumbe wenu huu

In a real sense shida ni kutokuwa na uwezo wa kudhibiti hisia( weak emotional inteligence,EIQ).

Hii inawapata wanaume wadhaifu(SIMPS)akina Aziz Ki ambao hawajui maana ya mapenzi na ngono.Nyie wahongaji acheni kutisha watu.Na msipo acha tabia ya kuhonga ndo mpendwe nasemaje mgongewe tu hao wanawake zenu,maana hakuma namna.

Swala la kufumwa ugoni hiyo ni ajali kazini.Kama huna uwezo wa kumiliki mwanamke kaeni kando sasa ukiua ndo utafaidika na nini zaidi ya kuishia jela.

Tumieni akili,ukipewa uchi piga kwelikweli kama ndo mara yako ya mwisho😀😀😀acheni utani.Piga haswaa leta utani bodaboda wakusaidie. UTAWATISHA WANGAPI BWANA WEWE.

Piga tizi,kula vizuri,lala masaa ya kutosha,punguza stress maisha ndo hayahaya.Tafuna mbususu acha kutisha watu nyie vipi.
Ukiwekwa mtu kati ndo utaelewa
 
Kazi ya ma ex ni kuvunja ndoa ukitaka ndoa yako ifike mwisho kuwa na mazoea ya kuchart chart na ma ex ni lazima mtakumbushia tu kumbuka wizi ni mtamu kwa sababu dhambi ni tamu.
Kuwa karibu na ma ex wako kama hautaki ndoa yako
 
Wasiokuwa na ndoa wakatoe wapi ugumu wao? Asie halali kwa mtu ni ndugu wa nasaba moja na wazazi, kinyume na hapo as long as ana jinsia kinyume na muhusika basi huyo ni halali.

Itakuwa ni aidha story ya kusadikika ama haijatokea Tz hii. Iwe itakavyokuwa, huyo muuaji akitaka kukata mzizi wa fitina amuue mkewe ambae ndio chimbuko la usaliti.
True story
 
Kwa maana mshahara wa dhambi ni mauti; bali karama ya Mungu ni uzima wa milele katika Kristo Yesu Bwana wetu.
Romans 6:23

Dhambi yoyote ile mwisho wake sio mzuri.
Silika ya dhambi ni tamu lakni chungu
 
Uzinzi ni nini?
Uzinzi ni kitendo cha wanandoa wawili wasiotosheka na ndoa zao na kwenda kukutana kimwili na wanandoa wengine, yaani ni kitendo cha kufanya ngono na mtu asiyehalali yako.

Pana mjane mmoja wa watoto saba hadi leo ajakaa sawa kiakili baada ya kutumiwa clip ya video wasap ya wauaji wa mumewe baada ya kufumwa ugoni.

Alitumiwa clip ikionyesha mme Pana sehemu anaenda baada ya kupigiwa simu ya mtego na hawara yake alipofika akadakwa na njemba akawekwa kati akabanwa kwa ushahidi wa message akakiri baada ya kukiri akalawitiwa na njemba nne walipotosheka akauwawa kwa akachinjwa then wakamtupa porini kisha clip nzima wakatumiwa ndugu zake pamoja na mke wake.

Ni msiba mzito kumpoteza mume kisa nyege pia ni trauma haifutiki kwenye akili ndo mjue Pana watu makatili duniani.

Mkiambiwa mke wa mtu ni sumu hamuelewi hadi ukiwekwa mtu kati,inaiacha trauma familia yako, watoto wako,mke wako kisa nyege tu za dk Tano.

Unapochepuka tu tayari umeshafungulia mlango wa uharibifu katika ndoa yako hata uwe mjanja vipi itapita miaka ni lazima tu itakuja julikana kupitia Roho Mtakatifu yeye huweka ya gizani ya sirini peupe.

Kuchepuka ni karma ni lazima tu itabackfire mbaya sana ubakifire wakati ulishasahau , mfano mwenza wako kaishiwa salio anaomba simu yako aendelee na mazungumzo akiwa anatumia simu yako mara paa message inaingia kesi huwa inaanzia Hapo.

Zote hizi ni kazi za Roho Mtakatifu.
Hiyo ndio dawa sahihi ya watu wanaokula wake za watu
 
Halali ni kitu ulichokipata kwa haki, bila kutumia nguvu ama kumdhulumu mtu. Sasa nimetongoza mwanamke, kwa hiyari yake akanikubalia unasemaje sio halali?

Ni nani kasema kwamba nikiwa na mwanamke, sitakiwi kuomba kua na mwanamke mwingine kwa hiyari yake mwenyewe?

Acha watu wale maisha.
Tafsiri ya mke halali ni yule uliye na mkataba nae kisheria ya ndoa, nje ya Hapo ni uzinzi
 
Ukiwekwa mtu kati ndo utaelewa
📌📌📌Piga tizi,kula vizuri,lala masaa ya kutosha,punguza stress maisha ndo hayahaya.Tafuna mbususu acha kutisha watu nyie vipi.

Jifunze kutafuta furahi nje ya watu itakusaidia kulinda afya yako ya akili.Hapa duniani hakuna cha PEKEAKO.Pia kaa ukijua kuwa ni muda wako this time around but anytime anywhere you are REPLACIBLE!!!

Ona aibu basi,utaweka wangapi,watu wengine mbavu alafu mamafia anakuweka wewe na mke wako😄😄😄
 
Malaya wamejaa why wake za watu kufuata kifo
 
Dhambi ya uzinzi ni mbaya umevunja agano,umemkosea Mungu wako,mume wake,umefungulia roho ya talaka,hatia ya kutesa watoto wako.
Ipo laana ya kulala na mke wa mtu ni karma
siyo kweli, labda uwe umebaka, lkn kama ulaji wako wa tunda la eva ni consensual, na linafanya ndoa ya mistress iimarike zaidi, dhambi inatoka wapi? i.ehiyo inaitwa ni AFFAIR na siyo EXTRAMARITAL RELATIONSHIP (zingatia tofauti ya hiyo misamiati miwili) :CaptFailFish:
 
Mtu yeyeto akishazini nje thamani yake kwenye ndoa upungua anakuwa anaishi kwenye ndoa feki
 
siyo kweli, labda uwe umebaka, lkn kama ulaji wako wa tunda la eva ni consensual, na linafanya ndoa ya mistress iimarike zaidi, dhambi inatoka wapi? i.ehiyo inaitwa ni AFFAIR na siyo EXTRAMARITAL RELATIONSHIP (zingatia tofauti ya hiyo misamiati miwili) :CaptFailFish:
Mtu azinie na mwanamke Hana akili kabisa.
Furaha yako ipo ndani mwako na sio nje yako
 
Uzinzi ni nini?
Uzinzi ni kitendo cha wanandoa wawili wasiotosheka na ndoa zao na kwenda kukutana kimwili na wanandoa wengine, yaani ni kitendo cha kufanya ngono na mtu asiyehalali yako.

Pana mjane mmoja wa watoto saba hadi leo ajakaa sawa kiakili baada ya kutumiwa clip ya video wasap ya wauaji wa mumewe baada ya kufumwa ugoni.

Alitumiwa clip ikionyesha mme Pana sehemu anaenda baada ya kupigiwa simu ya mtego na hawara yake alipofika akadakwa na njemba akawekwa kati akabanwa kwa ushahidi wa message akakiri baada ya kukiri akalawitiwa na njemba nne walipotosheka akauwawa kwa akachinjwa then wakamtupa porini kisha clip nzima wakatumiwa ndugu zake pamoja na mke wake.

Ni msiba mzito kumpoteza mume kisa nyege pia ni trauma haifutiki kwenye akili ndo mjue Pana watu makatili duniani.

Mkiambiwa mke wa mtu ni sumu hamuelewi hadi ukiwekwa mtu kati,inaiacha trauma familia yako, watoto wako,mke wako kisa nyege tu za dk Tano.

Unapochepuka tu tayari umeshafungulia mlango wa uharibifu katika ndoa yako hata uwe mjanja vipi itapita miaka ni lazima tu itakuja julikana kupitia Roho Mtakatifu yeye huweka ya gizani ya sirini peupe.

Kuchepuka ni karma ni lazima tu itabackfire mbaya sana ubakifire wakati ulishasahau , mfano mwenza wako kaishiwa salio anaomba simu yako aendelee na mazungumzo akiwa anatumia simu yako mara paa message inaingia kesi huwa inaanzia Hapo.

Zote hizi ni kazi za Roho Mtakatifu.
Chineke 😝😝
 
Hakunaga siri idumuyo kama unataka maisha ya uzinzi please usile kiapo cha ndoa kiapo ni laana unapoapa iwe kanisani au kazini haupo peke yako viumbe vya roho ushuhudia thus watumishi ufukuzwa kazi kwa rushwa, kwa sababu si uliapa.?
Kiapo ni karma taleta somo lake ili.
 
Back
Top Bottom