Enzi hizo JKT....

Enzi hizo JKT....

835kj Mgambo Tanga
Maleela malela ....wangu naktafua
Inai nai amba, yafanana amba na jeshi letu amba..hakuna mwingine
Acha bhana dah. Chezea shamba dunia kwa komsanga na genda genda hahaha.
hahaa vipi kanole ausi yupo? namuona sana facebook
 
Kanole yupo Bugombora mkuu. Alihiamishwa pale mwaka juzi akaja Bwigoge toka 831kj.
Fb ndio kwake kutangaza ujasili mali anaoufanya haha
 
Nipe SAR ama hata gobore ambalo liko loaded!Adui akija huna risasi utafanya nini?
Wallahi ukitaka kuiba silaha kwa mamia miaka ile basi jkt ilikuwa ni pahala sahihi.
Nimefuatilia mafunzo ya national service ya nchi nyingi tu duniani ni nimegundua kulikuwa na makosa na mapungufu mengi sana katika mafunzo yaliotolewa JKT
Jkt ilijikita sana kama taasisi ya propaganda na kutubrainwash
Wakati ule Usalama ulikuwa mkubwa.Jeshi walishachunguza hali ya usalama wakajiridhisha.
Walishachunguza mwamko wetu ( kuruta wa enzi hizo form six) ulikuwaje kiuzalendo wakajiridhisha .
Kwa sasa hali imebadilika. Kuruta hata service man hapewi gobore.
 
Kilimo cha jembe la mkono kilipitwa na wakati miongo msingi sana
 
Subsistence farming jembe la mkono still valid.
Wengine tunatumia plough ( jembe la ng ombe)

That’s why baadae JKT ikawa ni burden kwa serikali na ikabidi National service isitishwe. Tungetumia kilimo cha kisasa basi jkt ingekuwa na utajiri mkubwa sana miaka ile
Subsistence farming is outdated and in many cases leads to poverty
 
Haikuwa burden. Tulilipwa kichele ( shs 100 kwa mwezi)
Kombati hazikutoka nje ya nchi zilitengenezwa nchini kwa Pamba ya Tanzania
Tulilala kwenye mahanga tuliyoyajenga wenyewe( kumbuka mafundi walikuwa wanafunzi waliomaliza FTC( Dar tech Arusha tech, ifunda sec, Moshi tech, Musoma tech)
Manpower ilikuwepo kubwa( kurutas)
Chakula tulilima wenyewe( mashamba makubwa buhemba, mlale, maramba,farm 17, nknk)
Maharage yalitoka Oljoro, makuyuni)
Mbogamboga zilitoka makutopora.
Kusitishwa Jkt ni mbinu za mabeberu kuona kuwa Tanzania kuna jeshi kubwa la akiba.
99% ya form six enzi hizo tulikuwa jeshi la akiba.
 
Mkuu kila kitu tunasingizia mabeberu. Operating expenses ndio zilifanya serikali kuelemewa na national Service. Tunge focus on modern large scale farming basi JKT ingekuwa na uwezo wa kulisha taifa zima na surplus ikawa exported.
Ilifika muda hata chakula tuliishiwa pale 835KJ pamoja na kuwa na shamba kubwa kama KIA yote.
In short it gotten to a point whereby the government couldn’t no longer provide subsidies
 
Mkuu baba, vingine tuliviharibu wenyewe. Maafande na Big dads walikwiba sana.
 
Haikuwa burden. Tulilipwa kichele ( shs 100 kwa mwezi)
Kombati hazikutoka nje ya nchi zilitengenezwa nchini kwa Pamba ya Tanzania
Tulilala kwenye mahanga tuliyoyajenga wenyewe( kumbuka mafundi walikuwa wanafunzi waliomaliza FTC( Dar tech Arusha tech, ifunda sec, Moshi tech, Musoma tech)
Manpower ilikuwepo kubwa( kurutas)
Chakula tulilima wenyewe( mashamba makubwa buhemba, mlale, maramba,farm 17, nknk)
Maharage yalitoka Oljoro, makuyuni)
Mbogamboga zilitoka makutopora.
Kusitishwa Jkt ni mbinu za mabeberu kuona kuwa Tanzania kuna jeshi kubwa la akiba.
99% ya form six enzi hizo tulikuwa jeshi la akiba.
Mkuu usilisahau shamba dunia Mgambo; komsanga na gendagenda
 
Najaribu kumhadithia mkuu namna Jkt ilivyokuwa asset.
Anasema Jkt ulikuwa mzigo.
Naona umemjibu vizuri sana mkuu. Hayo uliyomuelezea umekuwa msingi mkuu wa jkt mpaka sasa. Jkt ndiyo inayoongoza kukusanya thousands of tones za nafaka katika magala la taifa letu.
 
Nilipenda every moment ya JKT hasa baada ya kuzoea. Hii ilichukua miezi mitatu plus.
Homa ilikuwa inaanza kupanda baada ya kupata form iliyokuambia unaenda kambi gani. Basi hapo utacheki na wenzio ili uone uko na kina nani.
Mi nilipangiwa Msange/Masange Tabora, lakini nikavecha nikaenda Makutupora. Kwata huko kwa kwenda mbele.
Ila nilijiunga na Usanii ( Kikundi cha Sanaa cha Jeshi ) ambako nilikuwa mahiri hadi nikaombewa na AFande incharge wa Dept hiyo nisikatwe bogi.
Marafiki tuliokuwa nao JKT wamekuwa wa kudumu maana mnakuwa mmepitia mambo magumu but mazuri pamoja.

Sijuti kwenda JKT.... kwa kweli.

AKA ...... wa Makutupora... LOL ( n.b: AK = Askari wa Kike) maana tulikuwa na Force Number.
Mpo hapo?
834 kj ulikuwa operation gan
 
Najaribu kumhadithia mkuu namna Jkt ilivyokuwa asset.
Anasema Jkt ulikuwa mzigo.

Asset ambayo haikutumika kuleta tija bali kuwa chombo ya propaganda na kubrainwash young men and women
To me personally, naona kwangu ni mwaka ambao ulipotea pale 835KJ
The only thing I do appreciate about my one year of national service ni kukutana na marafiki wapya ambao some of them tunawasiliana hadi leo
Other than that naona nilipotezewa muda wangu tu
 
Asset ambayo haikutumika kuleta tija bali kuwa chombo ya propaganda na kubrainwash young men and women
Sisi recruiters tulizalisha. Kama walikula nguvu zetu Mungu atawaona.
Kwa kutambua umuhimu wa JKT wanasiasa wafuatao wa kizazi hiki wamehudhuria mafunzo.
Zitto Kabwe,Halima Mdee,Ester Bulaya,Mwigulu Nchemba. Na wakaomba muda uongezwe kwa mazuri waliyoyapata.
 
Tuko na mtazamo tofauti.
To me personally, naona kwangu ni mwaka ambao ulipotea bure tu bila faida yoyote ile.

Back
Top Bottom