Haikuwa burden. Tulilipwa kichele ( shs 100 kwa mwezi)
Kombati hazikutoka nje ya nchi zilitengenezwa nchini kwa Pamba ya Tanzania
Tulilala kwenye mahanga tuliyoyajenga wenyewe( kumbuka mafundi walikuwa wanafunzi waliomaliza FTC( Dar tech Arusha tech, ifunda sec, Moshi tech, Musoma tech)
Manpower ilikuwepo kubwa( kurutas)
Chakula tulilima wenyewe( mashamba makubwa buhemba, mlale, maramba,farm 17, nknk)
Maharage yalitoka Oljoro, makuyuni)
Mbogamboga zilitoka makutopora.
Kusitishwa Jkt ni mbinu za mabeberu kuona kuwa Tanzania kuna jeshi kubwa la akiba.
99% ya form six enzi hizo tulikuwa jeshi la akiba.