Enzi hizo kwenye mitihani ilikuwa akili kidogo, ujanja mwingi

Enzi hizo kwenye mitihani ilikuwa akili kidogo, ujanja mwingi

Kuna wana wao walikua wanataka majibu tu, alaf ni mtihani wa hesabu na mwalim anataka njia ndo asaishe majibu, yeye anakwambia mpe jibu njia atajitungia tu kuakikisha lile jibu linakua vileπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kuna wale wasiopenda kuvaa saa lakini siku za mitihani utakuta mtu kavaa saa mkanda wa ngoz mpana..muangalie Sasa namna anavyochomoa vibomu kwenye chumba Cha mtihaniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Œ
Hahahahaah
 
Duuh!! Kwahyo waliosoma "zamani hiyo" wote wamefanikiwa, sio?
Neno wote hilo umesema wewe, kufanikiwa na kutokufanikiwa hakuendani na usomaji wa zamani au wa kisasa. Nimekusudia wasomi wa sasa ni wazito kujua nn cha kufanya baada ya hapo. Wale wa zamani wengi tayari walikua na mipango ya maisha baada ya kumaliza shule,
Yaani utakuta mtu kufaulu ili aendelee mbele zaidi anakupa asilimia 40 na kufaulu ili ayafanye yake anakupa 60.

Unaweza kuta wengine walifaulu kuendelea mbele lakini walijikita na yale waliyoyadhamilia huku wakijitetea ada nk.
 
Unakumbuka enzi izo za vibomu? wengine wakiita nondo, uangaliziaji na makamati ya kimkakati wakati wa mitihani mashuleni? ujanja ujanja wa kila namna ilimradi tu watu wafaulu mitihani.
Baadhi ya matukio
Tuko necta ya fomu 6 kuna demu mmoja aka kamatwa na ki karatasi kimekunjwa kwa ustadi mkubwa sana ndani yake kuna topic karibia zote za ilo somo, msimamizi akapiga kelele wakaja wenzake, kiboom kina urefu wa kama rula iv, shule ikaishia hapo.

Sasa mitihani ya ndani ya shule ndio ilikua noma, kuna mademu hao walikuaga hawajisumbui kusoma, siku za mitihani wanajichora kwenye mapaja topic za muhimu tu.

Wengine walikua wanaandika nondo za muhimu kwenye madawati wanayo kaa kwa ustadi mkubwa na kwa kifupi sana, hauwezi kujua ila yeye ndio anajua tu, ilo dawati akikuta kesho kwenye chumba cha mtihani halipo anaanza kuchanganyikiwa.

Kulikua na wataalam wanaandika vibomu, ka karatasi kadogo ila ndani kamejazwa topics zote na anakaweka nyuma ya booklet anateleza tuπŸ˜‚πŸ˜‚

Daah zamani kufaulu ilikua mbinu, unakuta jamaa wana akili sana darasani ila kila necta lazima wafeli. Kuna wahuni walikua wanakaa kamati, kila mtihani unafanyiwa mkakati mzito sana, jibu linaanzia kwa wa 1 ila linafika mpaka kwa 7.

kuna watu walikuaga wanaanza kusoma hesabu ile rasmi kabisa wiki moja kabla ya necta, baada ya kua wameiacha kama miaka miwili ivπŸ˜‚πŸ˜‚ Sijui wewe unakumbuka nini enzi izo!
Washikaji walikula one kali wakaenda kibaha na ilboru, sahivi ndio wanaongoza kupiga vizinga na kuomba bia. Tuliofeli ndio madon, maisha hayaπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Back
Top Bottom