Enzi hizo kwenye mitihani ilikuwa akili kidogo, ujanja mwingi

Kuna wana wao walikua wanataka majibu tu, alaf ni mtihani wa hesabu na mwalim anataka njia ndo asaishe majibu, yeye anakwambia mpe jibu njia atajitungia tu kuakikisha lile jibu linakua vileπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kuna wale wasiopenda kuvaa saa lakini siku za mitihani utakuta mtu kavaa saa mkanda wa ngoz mpana..muangalie Sasa namna anavyochomoa vibomu kwenye chumba Cha mtihaniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Œ
Hahahahaah
 
Duuh!! Kwahyo waliosoma "zamani hiyo" wote wamefanikiwa, sio?
Neno wote hilo umesema wewe, kufanikiwa na kutokufanikiwa hakuendani na usomaji wa zamani au wa kisasa. Nimekusudia wasomi wa sasa ni wazito kujua nn cha kufanya baada ya hapo. Wale wa zamani wengi tayari walikua na mipango ya maisha baada ya kumaliza shule,
Yaani utakuta mtu kufaulu ili aendelee mbele zaidi anakupa asilimia 40 na kufaulu ili ayafanye yake anakupa 60.

Unaweza kuta wengine walifaulu kuendelea mbele lakini walijikita na yale waliyoyadhamilia huku wakijitetea ada nk.
 
Washikaji walikula one kali wakaenda kibaha na ilboru, sahivi ndio wanaongoza kupiga vizinga na kuomba bia. Tuliofeli ndio madon, maisha hayaπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…