donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Duh wewee,hapo sasa.Enzi hzo unatumwa dukan ukanunue sukari robo,kiberiti kimoja na mafuta taa nusu Lita na peremende za mia
Unaiba mfuniko wa ndoo unaendesha kama tairi huku unaelekea dukan ukiimba,
Sukari robo...kiberiti kimoja...mafuta taa nusu lita..peremende za Mia*3
Sukari nusu Lita..mafuta taa robo...kiberiti kimoja...
baada ya kufika dukan: Kiberiti nusu lita...mafuta robo...sukari ya mia...peremende robo
ππππππππππ Kikojozi...Enzi hizo nilikuwa nakaba watoto wenzangu nanyang'anya shilingi 10 zao na shilingi ishirini zilinikoma..π€£π€£
Mixer kumwaga kojo linalojua kutafuta njia kufikia godoro hata Kama umewekewa chakachaka la plastic sikuishia hapo Kuna kitoto Cha kike asubuhi tu nipo kwao nacheza nako baba na mama baada ya hapo tunaingia kwenye mauwa! Hivi fatu uliendaga wapi..π
Nilishawahi chezea kichapo nikajifanya nimezimia! Ilitua fimbo moja tu nikaammka kwa spidi utafikiri mzimu uliopotea maelekezo..π€£
Ahsante kwa juisi kola ulinifanya nikawa najikojolea mkojo unaonukia hata nikichapwa nasema kweli nahaki ya kuchapwa si kwa mnuko huo..π
Hii fani wengine tulisomea mkojo wa ndotoni ni mtamu Sana halafu haunaga breki! Halafu usiku wa kikojozi huwa unakuwaga mfupi..π€£ππππππππππ Kikojozi...
Way back nikiwa Town ..kabla sijahamishiwa shuleni migombani ilikuwa ukikojoa kitandaniii...
Utatembezwa mtaa mzima na Godoro lako kwa kichwa..
Huku Umepakwa Jivu ...unaimbiwa..
Kikojozi Kikojozi ...kakojoa na nguoo kaitia Moto ..hihihi hiiiiiiiiiii
Hii ilisaidia kupunguza vikojozi mtaani...
Me nilikuwa nikijikojolea.. naamka mapema nachukuwa nguo naweka nlipokojoa then zinavyonzz mkojo wote alafu natupa uvunguni.
πππ
Day uno... Harakati za Kikojozi zikasanukiwa teh teh teh ...
Nlipewa kifinyo ...matata Toka siku hiyo nliacha ujinga.
ππππHii fani wengine tulisomea mkojo wa ndotoni ni mtamu Sana halafu haunaga breki! Halafu usiku wa kikojozi huwa unakuwaga mfupi..π€£
Halafu hivi wale madaktari wa zamani walikuwa wanatupa dawa gani zile za minyoo..?? Maana sikuhizi sioni madogo wanahangaika na ku.. nya minyoo! Kipindi hicho unauona kabisa huu hapa laleki kitu halafu kinachezacheza na kimetoka tumboni mwako..π€£ππππ
Ukijikojolea saa Saba utakaa macho Hadi kumi na moja alfajiri.. Kama mla miraa .. hiyo kumi na moja ikifika Ni nduki Kama hukuwepo vile...
Ani ukiota unakojoa tuu Ni nuksi ... Unakuta ushaharibu...
ukienda jisaidia unajisaidia pembeni ili uwaone waliokuwa wanakula chakula chako πππππππHalafu hivi wale madaktari wa zamani walikuwa wanatupa dawa gani zile za minyoo..?? Maana sikuhizi sioni madogo wanahangaika na ku.. nya minyoo! Kipindi hicho unauona kabisa huu hapa laleki kitu halafu kinachezacheza na kimetoka tumboni mwako..π€£
Ukiwa hiyo stage unaomba mpk jirani akusaidie ku.. nya!! Hali ilikuwa inatisha aisee wazirudishe hizo dawa ili Hawa wa Sasa nao watie adabu.
Hahaha, hii naikumbuka sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Enzi hzo unatumwa dukan ukanunue sukari robo,kiberiti kimoja na mafuta taa nusu Lita na peremende za mia
Unaiba mfuniko wa ndoo unaendesha kama tairi huku unaelekea dukan ukiimba,
Sukari robo...kiberiti kimoja...mafuta taa nusu lita..peremende za Mia*3
Sukari nusu Lita..mafuta taa robo...kiberiti kimoja...
baada ya kufika dukan: Kiberiti nusu lita...mafuta robo...sukari ya mia...peremende robo
Mkuu unaujasiri wa ujambazi...πukienda jisaidia unajisaidia pembeni ili uwaone waliokuwa wanakula chakula chako πππππππ
Wengine tuliona Raha .. kuwaona hao jamaa .. me nlikuwa nkijisaidia nachukuwa kijiti natawanya tawanya nawahesabu wezi wa msosi wangu...
Wengine waliokuwa wakaidi wakiambiwa Wanapewa dawa za minyoo Teh teh teh wanaufyata mkia.
Umenikumbusha mbali bro...
Enzi za Marlboro...
Enzi za bazoka
πππ
Hahahah. Umenikumbusha kwenye soda. Enzi hizo kulikua na soda inaitwa Fahari wachache wanaijua. Sometimes unazuga kama umepiga pafu kumbe umeirudishia kwenye chupa. Wenzio zikiisha ndio unaanza kutambaEnzi hizo ukiwa andazi/kinywaji etc unakula taratibu vya wenzako viishe uwa dolishie...... Doli doli
πππ na ujasiri wote huo na ukorofi sijawahi ua kiumbe/mnyama ...nlikuwa najisikia hovyo mno nkiona wenzangu wanaua Vindege,njiwa..sungura..Mkuu unaujasiri wa ujambazi...π