donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Naanza:
Enzi hizo mzazi akitaka kukuadhibu kwanza anakuagiza mwenyewe ukalete fimbo, sasa kalete fimbo ya kizembe uone. Fimbo pendwa ilikua mpera.
Hebu tukumbishie na wewe enzi hizo [emoji2][emoji2][emoji2]